Dubai: Rais Samia akutana na Mtawala wa Dubai

Dubai: Rais Samia akutana na Mtawala wa Dubai

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Makamu wa Rais ambaye ni Waziri Mkuu wa Nchi za Falme za Kiarabu na Mtawala wa Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum

Amekutana naye baada ya kuhutubia katika Maonesho ya Dubai Expo 2020 katika Mji wa Dubai leo Februari 26, 2022

84CDA4EF-D40B-4119-A1B8-3E13CC2CC20F.jpeg

18A853EB-1507-4E1F-85C0-06DBAF6F0C64.jpeg
 
"hivi sisi nani ametusaidia kugeuza jangwa kuwa heaven ya duniani?"... Sheikh Makhtoun ana mengi kichwani?
 
... huyu Mtawala wa Dubai alikuwa mume wa Princess Haya bintiye (late) Mfalme Hussein wa Jordan dada yake na Mfalme Abdullah II wa Jordan. Walipeana talaka siku za hivi karibuni akamkatia mpunga wa kutosha; Princess Haya anaishi London kwa sasa. Picha yao hiyo enzi hizo; haoi "vitu vya ajabu ajabu". mama D, Sky Eclat (mama wa London).

pricess _haya.jpg
 
Tengeneza connection Mama Samia ingaea watu wa Legacy na wengine hawapendi.
 
hawa waarabu hiyo ring hapo kwenye hiyo picha unaweza kuta ni dhahabu tupu
syo unaweza kuta hyo ring ni gold pure mzee hao jamaa wana utajiri wa kutisha,ukiingia kwenye IG accounts zao utaelewa zaid
 
Back
Top Bottom