... hapana; ndio sura yake ilivyo toka ujana! Angalia picha kwenye post #12 hapo juu yuko vile vile.Sheikh Maktoum anamtupia mama jicho flani..asilete mambo yake ya tamaaa ...
π€πππSheikh Maktoum anamtupia mama jicho flani..asilete mambo yake ya tamaaa ...
Sio unawezakuta, hio ni pure gold mkuuhawa waarabu hiyo ring hapo kwenye hiyo picha unaweza kuta ni dhahabu tupu
syo unaweza kuta hyo ring ni gold pure mzee hao jamaa wana utajiri wa kutisha,ukiingia kwenye IG accounts zao utaelewa zaidhawa waarabu hiyo ring hapo kwenye hiyo picha unaweza kuta ni dhahabu tupu