Dubai: Rais Samia akutana na Mtawala wa Dubai

Wakenya walimtapeli dhahabu aka wapelekea moto wa wapelelezi wa Kimataifa wakakamatwa wote na dhahabu yake kifidiwa!
Sina uhakika kama ni hiyo stori, kwamba walishirikina na tapeli la kinigeria lililokuwa likiishi huko huko UAE.
 
Safiii sana, Rais wetu, nchi ilikuwa kifungoni kabisa, hakika ulisema utaifungua, tunaona matunda yake. Excellent
 
Halafu jamaa hawanaga mbwembwe kwenye sitting place zao yaani simple tu.
Ila sasa Kwa kina Hanganya mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…