DUBAI: Watanzania acheni kumnyanyasa Samia Suluhu, sasa amekutana na Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum😂😂

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Salaam Wakuu,

Tangu kilichoitwa uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 kumalizika, Samia Suluhu ameshindwa eti kufanya kazi zake sababu ya unyanyasaji kijinsia. Inadaiwa watanzania wanamsononiesha kwa kumzushia mambo ambayo hajawahi fanya.
Your browser is not able to display this video.

Martha Mlata Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida

Kwamba Watanzania wamemnyima ushirikiano kama waliokuwa wanawqpa Marais wengine.

Watanzania wanamzuia Samia kufanya kazi. Hata aliposema watu wapande Miti, ni watanzania wachache walijitokeza wakati ni kwa mannufaa yao.

Bado mnaendelea kuzungumzia mauaji ya 29 Oktoba 2025, akisikia eti ni sawa na kumtonesha kidonda hivyo hataki tuzungumzie mauaji.

Yeye anadai hajawahi kuua ta sisimizi🤣

Sasa kaenda kwa Wajomba zake Huko Uarabuni.. Atasema yote hata mlivyochongea kwa nchi za Magharibi hata wakakata misaada. Kila ubaya mliomfanyia kaunoti kwenye Notebook.

Sasa tusubiri Warabu watunyoshe. Tumewachokozea Mtoto🤣🤣..

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Mtawala wa Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum, kando ya Mkutano wa Dunia (WGS2026) Dubai, Jumatano, Februari 04, 2026.

MyTAKE

Leo atatema nyongo..
Soon tunaletewa Tende na Halua kama pole. 🤣🤣
 
nonsense
 

Maulana mtawala Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum, nimekuja mwenyewe balozi namba moja kidiplomasia kuomba radhi kwa usumbufu wa kampuni yenu ya DP World na bandari zenu za Tanganyika kutatizwa na mawasiliano kwa siku 6 kuanzia Oktoba 29, 2025 :
 
Jana bhana Dw waliweka hyo post kwenye ukurasa wao wa Fb walipelekewa moto na wananchi Hadi wakaanza kuwaasa watu kuwa watoe maon kwa staha bado people zikawa hazielewi kwakweli nadhan walijuta kuchapisha Ile taarifa
 
04 February 2026
Dubai, UAE


Maulana mtawala Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum, nilimtuma Sheikh Kombo 24 Disemba 2025 ambaye ni balozi namba mbili, sasa nimekuja mwenyewe balozi namba moja kusawazisha mambo

Toka Maktaba:
24 December 2025

The message was received by His
Highness Sheikh Abdullah bin Zayed Al Nahyan, Deputy Prime Minister and Minister of Foreign Affairs, during his meeting in Abu Dhabi with Mahmoud Thabit Kombo, Tanzian Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation.
During the meeting, the two sides discussed ways to strengthen bilateral relations and advance avenues of joint cooperation across various sectors.
His Highness Sheikh Abdullah bin Zayed Al Nahyan welcomed the visit of the Tanzian minister, affirming the distinguished relations that unite the two countries.
The UAE top diplomat highlighted the UAE’s keenness to work with Tanzania to capitalise on available opportunities to enhance bilateral cooperation in a manner that supports the development priorities of both nations and brings further prosperity and wellbeing to their peoples.
The meeting was attended by Sheikh Shakhboot bin Nahyan Al Nahyan, Minister of State.
 

Amuuzie dhabau huyo wakati bei bado iko poa.....!!
 
Hakuna mwanadamu anayemnyanyasa, ananyanyaswa na shetani na majini ya mauaji yaliyoweka makazi kwenye roho yake. Yeye na majini yake ya mauaji wameleta simanzi kubwa kwa wanadamu wa dunia nzima wanaothamini uhao wa mwanadamu. Kwa kweli ni aheri asingelizaliwa.
 
Faki zati bichi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…