DUBAI: Watanzania acheni kumnyanyasa Samia Suluhu, sasa amekutana na Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum😂😂

Salaam Wakuu,

Tangu kilichoitwa uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 kumalizika, Samia Suluhu ameshindwa eti kufanya kazi zake sababu ya unyanyasaji kijinsia. Inadaiwa watanzania wanamsononiesha kwa kumzushia mambo ambayo hajawahi fanya.
View attachment 3539165
Kwamba Watanzania wamemnyima ushirikiano kama waliokuwa wanawqpa Marais wengine.

Watanzania wanamzuia Samia kufanya kazi. Hata aliposema watu wapande Miti, ni watanzania wachache walijitokeza wakati ni kwa mannufaa yao.

Bado mnaendelea kuzungumzia mauaji ya 29 Oktoba 2025, akisikia eti ni sawa na kumtonesha kidonda hivyo hataki tuzungumzie mauaji.

Yeye anadai hajawahi kuua ta sisimizi🤣

Sasa kaenda kwa Wajomba zake Huko Uarabuni.. Atasema yote hata mlivyochongea kwa nchi za Magharibi hata wakakata misaada. Kila ubaya mliomfanyia kaunoti kwenye Notebook.

Sasa tusubiri Warabu watunyoshe. Tumewachokozea Mtoto🤣🤣..
View attachment 3539166
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Mtawala wa Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum, kando ya Mkutano wa Dunia (WGS2026) Dubai, Jumatano, Februari 04, 2026.

MyTAKE

Leo atatema nyongo..
Soon tunaletewa Tende na Halua kama pole. 🤣🤣
Si ajiuzulu?
Shida iko wapi?
 
View attachment 3539175
Maulana mtawala Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum, nimekuja mwenyewe balozi namba moja kidiplomasia kuomba radhi kwa usumbufu wa kampuni yenu ya DP World na bandari zenu za Tanganyika kutatizwa na mawasiliano kwa siku 6 kuanzia Oktoba 29, 2025 :
View attachment 3539174
Yaani kilichomuuma ni kufunga internet sio vijana kuuwawa duh !
 
Salaam Wakuu,

Tangu kilichoitwa uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 kumalizika, Samia Suluhu ameshindwa eti kufanya kazi zake sababu ya unyanyasaji kijinsia. Inadaiwa watanzania wanamsononiesha kwa kumzushia mambo ambayo hajawahi fanya.
View attachment 3539165
Martha Mlata Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida

Kwamba Watanzania wamemnyima ushirikiano kama waliokuwa wanawqpa Marais wengine.

Watanzania wanamzuia Samia kufanya kazi. Hata aliposema watu wapande Miti, ni watanzania wachache walijitokeza wakati ni kwa mannufaa yao.

Bado mnaendelea kuzungumzia mauaji ya 29 Oktoba 2025, akisikia eti ni sawa na kumtonesha kidonda hivyo hataki tuzungumzie mauaji.

Yeye anadai hajawahi kuua ta sisimizi🤣

Sasa kaenda kwa Wajomba zake Huko Uarabuni.. Atasema yote hata mlivyochongea kwa nchi za Magharibi hata wakakata misaada. Kila ubaya mliomfanyia kaunoti kwenye Notebook.

Sasa tusubiri Warabu watunyoshe. Tumewachokozea Mtoto🤣🤣..
View attachment 3539166
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Mtawala wa Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum, kando ya Mkutano wa Dunia (WGS2026) Dubai, Jumatano, Februari 04, 2026.

MyTAKE

Leo atatema nyongo..
Soon tunaletewa Tende na Halua kama pole. 🤣🤣
04 February 2026
Dubai, UAE

View attachment 3539178
Maulana mtawala Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum, nilimtuma Sheikh Kombo 24 Disemba 2025 ambaye ni balozi namba mbili, sasa nimekuja mwenyewe balozi namba moja kusawazisha mambo

Toka Maktaba:
24 December 2025

The message was received by HisView attachment 3539176
Highness Sheikh Abdullah bin Zayed Al Nahyan, Deputy Prime Minister and Minister of Foreign Affairs, during his meeting in Abu Dhabi with Mahmoud Thabit Kombo, Tanzian Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation.
During the meeting, the two sides discussed ways to strengthen bilateral relations and advance avenues of joint cooperation across various sectors.
His Highness Sheikh Abdullah bin Zayed Al Nahyan welcomed the visit of the Tanzian minister, affirming the distinguished relations that unite the two countries.
The UAE top diplomat highlighted the UAE’s keenness to work with Tanzania to capitalise on available opportunities to enhance bilateral cooperation in a manner that supports the development priorities of both nations and brings further prosperity and wellbeing to their peoples.
The meeting was attended by Sheikh Shakhboot bin Nahyan Al Nahyan, Minister of State.
Bilateral relations involved to bring armoured vehicles for our corrupt police force in exchange with our gold. These police vehicles were involved in killing Tanzanians. Shame on you Kombo. Hufai kuwa hata mwenyekiti wa mtaa, huna charisma, kama huyo kimama.
 
Ha haaa wameguziana kibao wao kwa wao.......wanaume subirini zamu yenu
 
Salaam Wakuu,

Tangu kilichoitwa uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 kumalizika, Samia Suluhu ameshindwa eti kufanya kazi zake sababu ya unyanyasaji kijinsia. Inadaiwa watanzania wanamsononiesha kwa kumzushia mambo ambayo hajawahi fanya.
View attachment 3539165
Martha Mlata Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida

Kwamba Watanzania wamemnyima ushirikiano kama waliokuwa wanawqpa Marais wengine.

Watanzania wanamzuia Samia kufanya kazi. Hata aliposema watu wapande Miti, ni watanzania wachache walijitokeza wakati ni kwa mannufaa yao.

Bado mnaendelea kuzungumzia mauaji ya 29 Oktoba 2025, akisikia eti ni sawa na kumtonesha kidonda hivyo hataki tuzungumzie mauaji.

Yeye anadai hajawahi kuua ta sisimizi🤣

Sasa kaenda kwa Wajomba zake Huko Uarabuni.. Atasema yote hata mlivyochongea kwa nchi za Magharibi hata wakakata misaada. Kila ubaya mliomfanyia kaunoti kwenye Notebook.

Sasa tusubiri Warabu watunyoshe. Tumewachokozea Mtoto🤣🤣..
View attachment 3539166
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Mtawala wa Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum, kando ya Mkutano wa Dunia (WGS2026) Dubai, Jumatano, Februari 04, 2026.

MyTAKE

Leo atatema nyongo..
Soon tunaletewa Tende na Halua kama pole. 🤣🤣

Kwani nani kakataa kwamba Samia ni mwarabu?
 
Watu tuna hasira tumepotexa ndugu jamaa na marafiki asione kwenda kuwaeleza waarabu wanyanyasaji wa mtu mweusi kuwa yunamnyanyasa kama ni siluhisho. Aje akiri uwajibikaji uonekane mbona yataisha kuliko kuhangaika na kutuchamba
 
Ilhali mwenyekiti wenu akiwa lupango.
 
Back
Top Bottom