DUCE mbona hawatoi matokeo( placement) ya usaili wa 30.01.2023

DUCE mbona hawatoi matokeo( placement) ya usaili wa 30.01.2023

Stelingi

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2022
Posts
703
Reaction score
1,928
Aisee hivi mbona jobless tunafanyiwa hivi. Matokeo hayatoki zaidi ya miezi tisa 9. Hii ni sawa kweli???? Au ndo watu wakikaa kwenye viti hawajali hisia za wengine. Hata kama ni kupima uvumilivu hii sasa ni too much.

Walisema baada ya wiki tatu sasa inaenda kukamilika mwaka. Na kila siku imekuwa sisi na web ya psrs, mmmmmh hii sio sawa kabisa wenye mamlaka tizameni hili.

Au wenye update kuhusu huu usaili kuna jambo gani linaendelea atuambie maana sio kawaida. miezi tisa😳.
 
Nafikiri ni utaratibu wao au huwa kuna jambo la kimamlaka linawasubirisha. Mimi pia nilipiga oral November 2023 tukaahidiwa baada ya wiki 3 but hadi leo ubao wa website yao hawajawahi ku-upload matokeo.
Duuh kumbe huwa inachukua hadi miezi 9+?🤔🤔
 
Back
Top Bottom