Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
- Thread starter
-
- #21
Wasanii wenyewe hawa kina nuhu mziwanda[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji106] [emoji15] [emoji15]Clouds wanawafanya wasanii wakose kujiamini. Kila msanii anaona hawezi kujitegemea anapokuwa nje ya Clouds, inatakiwa wasanii wafunge mkanda ili kujinasua na huo ukoloni wa kifikra.
Kina nikki wa pili na masters zao wanakula laki tano[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]fiesta unalipwa laki 2 per show duuh kweli hawa mawingu fm
Kina mwana fa wanajiita wasomi wanabebwa kwenye kosta mastaa 15 barabaran unaenda lamba lak 5Kama komando JIDE, hamna kuyumbishwa, inasikitisha wasanii wakubwa wamejazwa ndani ya coaster dar hadi mikoani kisa kuiogopa clouds mwdia.
Toa mtazamo wako mkuuHatari sana.
Hahahaha shish hawezi kukubali kurud igunga aliache jiji, bora akomae na laki mbiliWasanii wa bongo wengi kwa Ruge kila goti litapigwa leta jeuri urudi Igunga,Simiyu,Kibororoni..
Hapo kuna kiki gan?Bila kuongelea Clouds Media naona watu hawana pa kupatia kiki
Kama wasanii wangekuwa wanalipwa pesa mbaya si wangeenda kwingine.
Mkubali kuwa Clouds kwa jina.wamejijenga na mengi hata iweje...wakongwe wa mengi nchini.
Hapo kuna kiki gan?
fiesta unalipwa laki 2 per show duuh kweli hawa mawingu fm
Sasa akiiongelea clouds anapata Kiki gani? Na inamsaidia kitu gani huyo msanii?Yoyote ile kivyovyote.
Dudu baya kasema clouds ni wanyonyaji, kiki gani hapoYoyote ile kivyovyote.
Laki mbili mpaka laki 7 tegemea na jina laakoHiv kwa anaeujua ukwel hawa waasanii wanalipwa kias gan kwa show za fiesta na kwa show za kawaida
Duuh kaz ipoLaki mbili mpaka laki 7 tegemea na jina laako
Achana nae hawa ndio wale wavulana wanaovaa suruali za dada zaoDudu baya kasema clouds ni wanyonyaji, kiki gani hapo
Mbona mtoto anamnyonya mama na mama anakubali kunyonywa.Hivi kuna ukweli kwamba wananyonywa??
Hao wanaonyonywa nao wamekubali kunyonywa.??
Ni vigumu sana kukubali mtu anaweza kunyonywa na kuendelea kukubali kunyonywa tu!!
wewe unalipwa laki2 kwa mwezifiesta unalipwa laki 2 per show duuh kweli hawa mawingu fm