Dudu baya a.k.a mamba aichana chana clouds fm, amwagia sifa rubby

Dudu baya a.k.a mamba aichana chana clouds fm, amwagia sifa rubby

Mkuu naomba kujua wasanii walioko fiesta wanalipwa sh ngap?yaan mikatAba yao ikoje Kwa show moja au fiesta nzima,na Malipo yanatofautiana kati ya msanii mmoja na mwingine?
Show moja ni laki mbili mpaka laki saba,
Unategemea msanii na msanii
 
Mkuu naomba kujua wasanii walioko fiesta wanalipwa sh ngap?yaan mikatAba yao ikoje Kwa show moja au fiesta nzima,na Malipo yanatofautiana kati ya msanii mmoja na mwingine?
Show moja inaanzia laki 5 mpaka Mil 3 inategemea na ukubwa wa jina la msanii na nyimbo ulizotoa je zimehits sanaa...
 
Show moja inaanzia laki 5 mpaka Mil 3 inategemea na ukubwa wa jina la msanii na nyimbo ulizotoa je zimehits sanaa...
Mkuu sidhan kama kuna msanii anaefanya show na akalipwa laki 5,kuna kipindi kama sikosei ni Mwaka Jana nilishawai msikia ney akisema alilipwa mil 130 Kwa fiesta nzima nkajiuliza ila sikupata jibu kuwa ni kwel au,thus y nikauliza
 
Mkuu sidhan kama kuna msanii anaefanya show na akalipwa laki 5,kuna kipindi kama sikosei ni Mwaka Jana nilishawai msikia ney akisema alilipwa mil 130 Kwa fiesta nzima nkajiuliza ila sikupata jibu kuwa ni kwel au,thus y nikauliza
Ney wa mitego show ya mwaka 2014 alzunguka mikoa yote jumla ya hela yote ml 135
 
OK kumbe walau wanapata kitu,
Kuhusu chakula,malazi,mavazi ya kila show nani anagharamia?
Usafir, malazi na chakula wanagharamia clouds la sivyo usingewez kuwaon wasanii wote wanapand ndege moja, coster moja na wanafikia hotel moja ingekuw hivyo kila Mtu angekuj na usafir wake
 
Ney wa mitego show ya mwaka 2014 alzunguka mikoa yote jumla ya hela yote ml 135
Sio kweli. Wakati huo anatamba na Nakula ujana alilipwa milioni 20 kwa tour nzima.maana alizunguka mikoa yote. Nakumbuka dj Fetty ndio alikuws anamhoji na akaws anataka kumzuia asitamke malipo aliyopokea. Sujui ndio alikuws anajishtukia nini!?
 
Ney wa mitego show ya mwaka 2014 alzunguka mikoa yote jumla ya hela yote ml 135
Sio kweli. 20 million kwa tour nzima. Piga hesabu ya shows zote ilikopita fiesta utapata wastani wa malipo kwa kila show.
 
Msanii mkongwe na asiyesahaulika katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya dudu baya amekivua nguo kituo cha clouds fm kwa kuwaita ni wanafki wakubwa, wanyonyaji wa wasanii, na wenye kuharibia wasanii ndoto za mziki wao
Mamba alitolea mfano wasanii wanazungushwa mikoani kwenye tamasha la fiesta na kuambulia ujira mdogo, huku akisema pesa wanayopata kwenye hilo tamasha huishia hukohuko mikoani na hurudi dar wakiwa wamepayuka hawana kitu mfukoni

Dudu alisema hayo akipokuwa kwenye kipindi cha usiku cha FRIDAY NIGHT LIVE... FNL kinachorushwa na EATV

Alienda mbali zaidi kwa kumpongeza msanii mwenye kipaji anayekuja juu ruby kwa kusema ametoka kwenye minyororo ya wafu FM akawasihi na wasanii wengine wamuige ruby kwani ameonesha mfano

Akionekana mwenye afya km alivyokuwa zamani, amesema wafu fm hawajapiga nyimbo zangu kwa miaka sita sasa lakini sijatetereka naendelea na maisha yangu kama kawaida

Wakati akiendelea kuwatolea uvivu clouds fm mtangazaji wa kipindi hicho sam misago alitumia mbinu ya ziada kumtoa kwenye kile akichokuwa nacho moyoni
Hata hivyo alipongeza redio ambazo zipo chini ya IPP km East africa radio, radio one, capital fm na kusema hajawahi kuombwa pesa na mtangazaji au dj yeyote wa kituo hicho ili wimbo wake uchezwe hewan
Amevitaka vituo vingine kuiga vyombo vya ipp media

Kwa maneno ya dudu baya ni dhahiri wasanii wengi ni watumwa wa baadhi ya media house
Malizia pia kua aliwaita ni MAGURUWE pia,
Kaponda kitendo cha Clouds kuwalipa wasanii kiasi kidogo kwenye Tamasha lao la Fiesta halafu akija Wizkid analipwa zaidi ya Million 100
 
Naombeni anayejua anielezeke hv hawa wasanii wanasimamiwa kazi zao na clouds? Maana mnasema wananyonywa hv ngoma ikishapikwa studio si anapewa msanii wenyewe sasa why aipeleke ngoma yake kwa wanyonyaji wakati radio mjini zipo kibao?
 
Hukuna lolote, ni kutojiamini kwa wasanii tu, Sugu alimgusa kidogo tu akaishia kuomba suluhu kupitia Waziri Nchimbi na akina Tundu Lissu, kama alikuwa anaweza lile battle kilichomfanya akimbilie kuomba poo ni nini? Jide tu hapo wamemshindwa!!

Ukiangalia vizur utagundua ni kutojiamini tu kwa Wasanii wetu, kwa mfano huyo Ruby wanaosema kuwa walimbeba, mim nilisikia wimbo wake kupitia radio nyingine tofauti kabisa na nikamkubali, hali kadhalika hawa akina Raymond, Billnas na wengine waliochipukia majuzi, wote nilisikia nyimbo zao kupitia media nyingine na nikawaelewa.

Kitu ambacho wasanii wetu hawajaelewa ni kuwa, Wimbo mzuri ndio utambeba, promo ina nafasi yake ila kama unafanya nyimbo nzuri utatoboa bila hata hao watu!! Kuna nyimbo kibao kutoka mataifa mbali mbali zinapendwa sana hapa Tz, je hao mawingu ndio wanawabeba hao wasanii wa Kimataifa? Jibu ni hapana, Ubora wa Nyimbo zao ndio zinawabeba!! So kuwekeza tu kwny mziki wako ndio utakubeba na sio media fulani!! Kujitambua ni hazina kubwa sana!!
Aise umenisaidia kufaham nilikuwa najiuliza hawa vijana wa singeli wengi nimewajulia radio tofauti na clouds sasa hawa wanaolilia kwanini wasisepe? au clouds nao wana label kama WCB unasaini mpaka mkataba uishe?
 
Ukibahatika kuchomoka clouds we ni noumaer....halafu shangaa wanawake wana uthubutu like Jide, Ruby wameweza jitoa ushenzini...lkn mibaba ipo ipo tu inanyonywaa
 
fiesta unalipwa laki 2 per show duuh kweli hawa mawingu fm
si haba lakini kwa msanii anaye anza kujitegemea.....maana laki mbili mara show 10 ni milioni mbili......kuna wasomi wanasugua gaga miezi sita hawajaingiza hata elfu hamsini........
 
Hahahaha shish hawezi kukubali kurud igunga aliache jiji, bora akomae na laki mbili
Maisha ya wasanii wetu yanatisha sana........ndio maana wapo radhi kujidhalilisha hata kufanya mambo ya fedhea ili mradi wawe na majina mjini wafanye mpango wa pesa......aisee MUNGU awasimamie....
 
Maisha ya wasanii wetu yanatisha sana........ndio maana wapo radhi kujidhalilisha hata kufanya mambo ya fedhea ili mradi wawe na majina mjini wafanye mpango wa pesa......aisee MUNGU awasimamie....
Hawana determination, yaani wanaliwa mchana kweupe
 
Wanoaribu mziki ni Babu tale na Fela wala sio clouds awajamaa wa ovyo sijawai kuona sana roho mbaya sana we fikiria mtu Kama MB dog kassim mganganga anajikongoja wanatoa pesa kwa Runge ngoma nyingine zisichezwe
Unasema usichokijua naona. Kassim alijiondoa mwenyeqe kwa Fella na Mb Doggy hivyo hivyo. Walidhani wananyonywa kama hivyo unavyosema wakajua wataweza kupata hela nyingi nje na watakula peke yao. Matokeo yake unayaona. Nadhani unaona walivyopotea
 
Back
Top Bottom