mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Ndivyo mganga wake alivyomwambia?...huyu kweli mwehu....
Amefanya unyama huo na kutokomea kusiko julikana....kampiga kisu cha sikio mamake na kuliacha linaning'inia....kisa eti anamroga ndio maana nyimbo hazi hit
source : clouds fm
nimecoment kwa ajili ya avatar yako tuInasikitisha sana, Muziki gani anafanya hadi u-hit,,,, pole zake mama wa watu.
nilisikiaga ye mwenyewe alikuwaga mganga wa kienyeji.Nyimbo zenyewe mbayaaa asimsingizie mama yakee mbwaa kwelii huyu jamaa
nimecoment kwa ajili ya avatar yako tu
nilisikiaga ye mwenyewe alikuwaga mganga wa kienyeji.
hivi si ana studio inaitwa TETEMESHA RECORD?ina maana hata mziki ukigoma studio pia hailipi?