Dudu Baya amkata mama yake sikio na kutokomea kusikojulikana

Dudu Baya amkata mama yake sikio na kutokomea kusikojulikana

Leo nimejua wasikilizaji wa ile Redio inayojiita redio ya watu tena vipindi vya vijana kumbe wako wengi ha!ha!
 
Viroba na jua kali ni hatari kwa akili ya binadamu lazima maamuzi yawe ya hovyo.
 
sijaelewa analalama hafany vizuri sokoni ni soko gani hilo or ana biashara ya samaki huko Mwanza ndiyo haifanyi vema? Kama ni muziki dudu ana muziki gani wa kufanya vyema kwenye gemu la karne hii?
 
kumbe bado yupo huku ulimwenguni!duh kama hakuwa na kitu kingine anafanya kumuingizia kipato atakuwa amefulia mbaya kabisa!pole zake
 
Huyo ndiye dudubaya aka ze mamba majina yote yamejaa ujeuri amedhiirisha umamba wake.
 
Kwani DUDU ana matatizo gan jaman toka nimeanza kuzisikilza nymbo zake kiukwel cjawah zipenda. huyo ana matatizo ya akili sio bure
 
Jitu lenyewe linaongeo off key sasa ninani atayapenda manyimo hayo ya hovyo?
 
mwanangu huna nidham huna nidham mwanangu huna nidham nidham nidham hata kidoogo!! dah hawa wasaniii wakitanzania bhana alichokiimba ndo alichokifanya
 
Nyimbo anatoa mbaya harafu anambebesha mama yake mzigo wake.

Ndio mambo ya kwenda kwa waganga sana badala ya kupiga kazi.

Mwaka jana alimpiga baba mwenye nyumba wake eti anamloga. Mwaka huu kampiga mama yake. Mwakani anaua kabisa
 
Dudu nini tena!umefikia kuyafanya haya eeh pole sana mama dudu kwa yaliyokukuta!
 
Back
Top Bottom