Dudu Baya amkata mama yake sikio na kutokomea kusikojulikana

Dudu Baya amkata mama yake sikio na kutokomea kusikojulikana

Chorus.."Mwanagu huna nidham huna nidham,mwanangu huna nidham huna nidhamu,nidhamu,nidhamu,nidhamu nidhamu nidhamu,,huna nidhaamuu"..verse................."kumbuka mama'ako alivokubeba tumboni mwake miezi tisa leo hii unamkana na kumtemea mate.................ni moja ya tungo zake ktk wimbo "NIDHAMU" wa Dudu naona mwenyewe mashairi yake yanamrudi yaeza'kua ni laana yakuwaonea wasanii wenzake especially Mr Nice,huyu dogo enzi zao Dudu alimpiga sana nakoz.
 
Siku za mwisho upendo wa wengi utapoa
 
Bange zingine sijui wanavutia kwapani na kuifanya mikono ichanganyikiwe, mmmh. Hatariiii
 
Imani mbovu tu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mama yake ataona Dudu Baya alijitabiria mwenyewe alipoimba
"Mwanangu, huna nidhamu, huna nidhamu..."
 
Amefanya unyama huo na kutokomea kusiko julikana, kampiga kisu cha sikio mamake na kuliacha sikio linaning'inia kisa eti anamroga ndio maana nyimbo hazivumi.


source : clouds fm

Mama amroge mwanae wa kumzaa! Au kinyume chake mganga kamwambia alete sikio la mamake amtengeneze awe kama diamond.
 
Amefanya unyama huo na kutokomea kusiko julikana, kampiga kisu cha sikio mamake na kuliacha sikio linaning'inia kisa eti anamroga ndio maana nyimbo hazivumi.


source : clouds fm

atakuwa amekimbilia kunakojulikana (kwa mganga)
 
hilo jamaa jinga sana,linajifichaga kinondoni b karibu na p.k bar,kuna kijumba flani wanauza bia mle kuna bonge la giza,kazi yake kuomba bia,ukiingia anadhani wewe ni paparazi,mimacho itamko ova mjusi kabanwa na mlango,kwa ufupi anajificha huyu jinga jinsi alivyofulia,we nenda kino b tembelea aika na p.k bar watakuonyesha anapojificha...
 
Kwani lazima aimbe tu.?
kama Sanaa imegoma si akalime
 
Kuna siku nilikua duka la kuuza CD na Audio Tape akaingia jamaa mmoja akaulizia CD ya DUDUBAYA watu wote pale dukani walistaajabu! Hivi kweli hata kama ni wewe unaweza kununuaa CD ya mtu anaitwa DUDUBAYA!!!
 
nilisikiaga ye mwenyewe alikuwaga mganga wa kienyeji.

hivi si ana studio inaitwa TETEMESHA RECORD?ina maana hata mziki ukigoma studio pia hailipi?
Ukiwa mbabe nani atakuja kwako, alafu huyu jamaa anavyopenda kupiga watu na kusifu ipo siku atakutana na mtu asieona haya akapigwa kinoma, yeye anavyowaponda watu anadhani ni mbabe kumbe kinachotokea kutokana na jina lake unakuta wakati mwingine mtu kumwangushia kisago sio fresh
 
Back
Top Bottom