Dudu Baya amkata mama yake sikio na kutokomea kusikojulikana

Dudu Baya amkata mama yake sikio na kutokomea kusikojulikana

Mtu akipigwa na maisha anakimbilia kusema karogwa.
Mama yake mzazi amroge na labda ndio alikuwa anamtegemea, ni mpuuzi yule muziki wake wenyewe hauna kichwa wala miguu.
Ila imani hizi nazo zina mambo, ila amekanusha kumpiga pia amefafanua aliekatwa sikio ni mama yake mkubwa si mama yake mzazi, pia alietoa taarifa hakuwepo eneo la tukio kwani mtoa habari alikuwa Kisesa wakati mama yake mkubwa anaishi Kisesa. Sijui nani mkweli nani ni muongo (iwe uongo au ukweli lakini jamaa nae kazidi kugawa kipondo aisee)

Source: Millardyayo.com
 
mwendelezo nimesikiliza leo jamaa amehojiwa anadai hajafanya hilo tukio.
 
Ukiwa mbabe nani atakuja kwako, alafu huyu jamaa anavyopenda kupiga watu na kusifu ipo siku atakutana na mtu asieona haya akapigwa kinoma, yeye anavyowaponda watu anadhani ni mbabe kumbe kinachotokea kutokana na jina lake unakuta wakati mwingine mtu kumwangushia kisago sio fresh
nasikia enzi zile alipompiga Mr.Nice,halafu anajitamba eti atampiga tena,kikosi cha mizinga walimwambia jaribu tutadili na wewe
 
nasikia enzi zile alipompiga Mr.Nice,halafu anajitamba eti atampiga tena,kikosi cha mizinga walimwambia jaribu tutadili na wewe
Watu wanamchukulia poa, hata wewe Viol ukijulikana sana kuna mitaa hata kama utaharibu kama utapata kipondo si kikubwa kama vile nitakachopata mie Jodoki ambae sijulikani kwa mamia ya watu (kuna zile yule si Dudubaya pia kuna ile mtu anaweza akakuachia kipondo cha kufa mtu kikakuacha na ulemavu kwa kuwa jina lako kubwa nchini jamaa aliefanya ile kitu dhamira inamsuta maana kila akitajwa majeruhi jamaa inamrudia taswira, ndio inapelekea watu wanakuchukulia poa)
 
Badala ya kutafuta namna ya kurudi kama zamani yeye anawaza uchawi tu......wakati kajiloga mwenyewe na mabangi yake....
 
Mwanangu huna nidhamu hata kidogooooo

Mwl Evelyn Salt asante kwa kuni kumbusha huu wimbo wake ambao umemrudia mwenyewe.
Huyu jamaa ana imani za kishirikina nasikia alikuwa ana mtuhumu kwa kumroga.
 
Last edited by a moderator:
Tuwe makini na majina tunayojipe au pewa, mfano kam DUDU BAYA unategemea nini? pole sana Mama.
 
Back
Top Bottom