Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Ila imani hizi nazo zina mambo, ila amekanusha kumpiga pia amefafanua aliekatwa sikio ni mama yake mkubwa si mama yake mzazi, pia alietoa taarifa hakuwepo eneo la tukio kwani mtoa habari alikuwa Kisesa wakati mama yake mkubwa anaishi Kisesa. Sijui nani mkweli nani ni muongo (iwe uongo au ukweli lakini jamaa nae kazidi kugawa kipondo aisee)Mtu akipigwa na maisha anakimbilia kusema karogwa.
Mama yake mzazi amroge na labda ndio alikuwa anamtegemea, ni mpuuzi yule muziki wake wenyewe hauna kichwa wala miguu.
Source: Millardyayo.com