Dudu Baya amkata mama yake sikio na kutokomea kusikojulikana

Dudu Baya amkata mama yake sikio na kutokomea kusikojulikana

Nilifikiri aliondoka nayo nikadhani atakuwa kapeleka kwa mganga kumbe kaiacha inaning'inia hapo hata sijaelewa kusudio lake
 
Nyimbo zenyewe mbayaaa asimsingizie mama yakee mbwaa kwelii huyu jamaa
nilisikiaga ye mwenyewe alikuwaga mganga wa kienyeji.

hivi si ana studio inaitwa TETEMESHA RECORD?ina maana hata mziki ukigoma studio pia hailipi?
 
nilisikiaga ye mwenyewe alikuwaga mganga wa kienyeji.

hivi si ana studio inaitwa TETEMESHA RECORD?ina maana hata mziki ukigoma studio pia hailipi?

Hahhhhahhhhahhha tetemesha sio ya kid bwaiii auu
 
kulingana na uheard hawakutaja kwamba amesema analogwa kwenye nini hasa...taarifa imesema tu anadai analogwa. hilo la muziki mmeongeza. All in all mtu akifulia anatafuta pa kuangukia, sasa naona bi mkubwa ndo amekuwa chambo. wakamsweke jela tu ili afulie vizuri na apotee kwenye anga za dunia kabisa
 
Sio dudubaya tu, wasanii wengi wanaisi labda wanalogwa ndomana hawafanikiwi.. ila dudu kavuka mipaka
 
Back
Top Bottom