Dudu Baya amkata mama yake sikio na kutokomea kusikojulikana

Thank you, now has been proved that the guy is real psycho.... he is so pathetic.
 
Mbaya sana. Mpaka amuombe radhi ndiyo atatoka!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
daah hiyo inshu juzi mange kasema lakini akajibu "Anaendaga kukojoa"
 
Badala ya kutafuta namna ya kurudi kama zamani yeye anawaza uchawi tu......wakati kajiloga mwenyewe na mabangi yake....
sasa hivi kaletwa na mafyriko ya mashoga na kibwagizo chake cha "Konki mastaa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…