Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kama mama yake yupo akamuombe msamaha
Yeah! Ni vyema akumbuke wajibu wake kwa mzazi(kama wapo),aombe msamaha kwa aliowakwaza na atubu dhambi zake.Thank you, now has been proved that the guy is real psycho.... he is so pathetic.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo ndiye dudubaya aka ze mamba majina yote yamejaa ujeuri amedhiirisha umamba wake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hilo jamaa jinga sana,linajifichaga kinondoni b karibu na p.k bar,kuna kijumba flani wanauza bia mle kuna bonge la giza,kazi yake kuomba bia,ukiingia anadhani wewe ni paparazi,mimacho itamko ova mjusi kabanwa na mlango,kwa ufupi anajificha huyu jinga jinsi alivyofulia,we nenda kino b tembelea aika na p.k bar watakuonyesha anapojificha...
sasa hivi kaletwa na mafyriko ya mashoga na kibwagizo chake cha "Konki mastaa"Badala ya kutafuta namna ya kurudi kama zamani yeye anawaza uchawi tu......wakati kajiloga mwenyewe na mabangi yake....