Machingafx
Senior Member
- Sep 25, 2026
- 139
- 187
Kwan uongo?? Wakat ni kwel.. au we unabisha??
Binafsi i do support hii movement na anachokifanya, kelele hizi zinaondoa taboo iliyopo ya watu kutozungumza haya mambo. Jamii iongee na ichukue hatua. Ingawa, toka day one, nilisema huyu jamaa amekosea sana kumtaja ommy dimpoz hadharani, ule ni udhalilishaji na unaweza msubject kwenye kesi ya madai. Its a good thing ameomba radhi.Sasa wale wapambe wa Dudu baya wataambia nini watu?
Lakini Dudu mwenyewe anasema alimtumia Ommy kwa kuwa ni mtu maarufu tu ili kufikisha ujumbe, kwa hiyo huenda sio chakula na ndio maana amemuomba msamaha.Ni chakula maana wala hajahangaika kukanusha.
Kwa hali hii watanzania wameshawekwa njia panda.
Kauli ya mwanzo ya Dudubaya haiwezi kubadilika kisa kamuomba msamaha muhusika,ujumbe ulisha fika,Sasa wale wapambe wa Dudu baya wataambia nini watu?