Dudu Baya hana mke wala mtoto: Tafakuri ya maisha yake ya jumla, usanii, na mustabali wa kioo chake cha jamii

Dudu Baya hana mke wala mtoto: Tafakuri ya maisha yake ya jumla, usanii, na mustabali wa kioo chake cha jamii

yeye anawatuhumu wenzake ushahidi anao? Si story za vijiweni na huko kilabuni anakolewa visungura na nyagi feki??
😂😂
Duh. Naona ndo kwaanza umeongeza tuhuma dhidi ya Dudu Baya kwamba analewa "visungura na nyagi feki". Wabongo mnaamini sana story za vijiweni. Ndo maana CCM inawatawala kirahisi sana.
 
Hivi wewe unajua unacho kizungumza lakini? Ndio maana Tundu lissu anasemaga Wa TZ sheria hamzijui na mnakurupuka.

Sasa kwa kukujibu simple tu, kuhusu Sheria za Nchi. Muulize makonda akiwa mkuu wa mkoa alikuja na Saka saka ya mashoga, kilichofuata ni nini? Nadhani Angekua hai Balozi Mahiga (RIP) angekupa ufafanuzi mubashala. Na kumalizia wakati hilo linatokea Rais alikua ni Magufuli, Sijui unaelewa?

Nikupige panapouma sasa, Rais Samia alisema Ushoga sio jinai kwa watu wakubwa waliokubaliana, ni Ruksa, ila jinai ni kwa watoto inakua ni ULAWITI. nanukuu "hilo jambo mfanye wakubwa kwa wakubwa, ila sio kwa Watoto"

Kuhusu DINI, mie sina DINI sina huo ufuasi, hivyo niko nje ya uwanja huo.

Asili. Jinsia ni 2, ke na Me, sasa unazungumzia nini? Kiungo au jinsia? Maana km ni kiungo, kinatumika ndio maana hivyo vinaingiliana bila shida, ingekua sivyo basi hilo tendo lisingeweza kufanyika kwa namna yoyote ile. Uke kazi yake uzazi? Kuna wanawake hawana uwezo wa kuzaa kabisa, hivyo hoja hii iko nje na haina mashiko.

Para ya mwisho, unajipa ahueni na kujilisha upepo. hivyo unavyosema kwangu haipoo.
😂😂😂😂
Doooooh dooooh
 
Dudu baya mtata kitambo tu kwa wanaomjua,hao kina Kala Pina na kikosi walimshindwa alafu wewe unaongea ujinga gani sijui


ugomvi wa Mr Nice na Dudu baya wakati ule hauna uhusiano wowote na ujinga ulioanddika hapa,nenda kasikilize kikulacho ya Mr Nice labda itakusaidia kuelewa kitu


Na mwisho kabisa,kwa haya uliyoandika hapa pamoja na majibu yako,UNAJICHORESHA zaidi wewe mwenyewe kuliko huyo uliyemlenga
 
Dudu baya mtata kitambo tu kwa wanaomjua,hao kina Kala Pina na kikosi walimshindwa alafu wewe unaongea ujinga gani sijui


ugomvi wa Mr Nice na Dudu baya wakati ule hauna uhusiano wowote na ujinga ulioanddika hapa,nenda kasikilize kikulacho ya Mr Nice labda itakusaidia kuelewa kitu


Na mwisho kabisa,kwa haya uliyoandika hapa pamoja na majibu yako,UNAJICHORESHA zaidi wewe mwenyewe kuliko huyo uliyemlenga
Kwahiyo dudu baya hakufirwa na mabaunsa?
 
Duh. Naona ndo kwaanza umeongeza tuhuma dhidi ya Dudu Baya kwamba analewa "visungura na nyagi feki". Wabongo mnaamini sana story za vijiweni. Ndo maana CCM inawatawala kirahisi sana.
Ndiyo analewa visungura na nyagi fake.
 
downloadfile.jpg
Linda kijambio
 
Hii ndio come back ya mashoga dhidi ya mpinga ushoga, hizi ni blaah blaah tu you better watch your back.
 
Huyu kaka yetu wa wochi bela baki amekuja kwa kasi sana mjini. Amevamia jiji kwa spidi bila mikakati madhubuti.

Alipotoka kule kwao Bariadi miaka hiyo, alipokelewa na GZRW mitaa ya magomeni na akafadhiliwa humo kula kulala buree bila malipo yoyote.

Sijui nini kilimpata, lakini inaonekana aliipenda pombe zaidi kuliko maendeleo. Ulevi ulipomzidi alifanyiwa vitendo vibaya sana na mabaunsa wa MISTA NICE mwaka 2006. Alipigwa muhuri wa moto.

Tangia hapo alianzisha bifu kali na mista nice, lakini kama mjuavyo, ikizama haifutiki. Ni kidonda cha milele.

Kutokana na jambo hilo, aligubikwa na hasira kali sana dhidi ya watu wote aliodhani ndio chanzo cha majuto yake (trauma) na kuzidisha ulinzi mkali sana wa mlango wake wa hormuzi.

Sifahamu nini kiliendelea, lakini tangu kipindi hicho hakuwahi kuonekana akiwa na mwanamke au mtoto. Kuna uwezekano mkubwa alivunjwa kwa namna isiyorekebishika. Hakuwa yule Dudu tuliyemjua wa kutoka Bariadi. Alionyesha majuto, kukata tamaa, huzuni, hasira, na hali ya kukosa utulivu wa kiakili.

Leo hii amebaki kuzurura kwenye madisko na mitandao ya kijamii akijinasibu kuwa mpiganaji wa vita vya usenge.

Mimi binafsi ninamuunga mkono kwa asilimia mia kwenye vita yake hii. Kitendo alichofanyiwa na mista nice mwaka 2006 ni kitendo kibaya sana kinachopaswa kukemewa vikali na sisi sote tunaopinga usenge.

Tuungane sote kumpigania huyu mwamba aliyevunjwa milango ya dharura.
Wille sio mtoto wake? Alipiga miti kwenye train
 
Lakini si aliingiliwa na alikojolewa ndani??
Kumbe mnajua na mnakiri kweli alibakwa?? Sasa km yeye ana trauma ndani yake, sio kila mtu, yeye akapambane na aliyembaka tu.

Afu ningemuona wa maana angekua anawapiga vita mabasha, maana hao ndio waharibifu km walivyo muharibu yeye.

Alooooh 😂😂😂😂
Acha kuingiliwa na wanaume wenzako
 
Kumbe ndio maana anausema sana ushoga, kumbe walishamtembelea mambaz 24, ila kiukweli dudubaya ana stress kubwa sana yule mtu, ni wa kumuombea tu.
 
Back
Top Bottom