Dudu Baya hana mke wala mtoto: Tafakuri ya maisha yake ya jumla, usanii, na mustabali wa kioo chake cha jamii

Dudu Baya hana mke wala mtoto: Tafakuri ya maisha yake ya jumla, usanii, na mustabali wa kioo chake cha jamii

Hatimae tumejua wewe nae wanakufukua kinyesi maana tangu alivyomuanika shoga mwezenu mnamshambulia kwa kasi sana ila Mungu anamlinda sana, ushauri wangu kwako linda mgongo wako acha hiyo michezo ya kupakuliwa kinyesi wewe KOMWE BICHWA
 
Stori yako kwa mbaaali ilikuwa na mashiko, ila ulivyosema katokea Bariadi naona ni mashudu tupu, ni hekaya zako tu zinapaswa kupuuzwa.
 
Mkuu samahani kwani wewe ni shoga? Au wewe ni mchicha mwiba wanakukula na wewe unawakula? Naona dudu baya katingisha meza za watu wengi sana
 
Mkuu rejea nyuzi yako ya Apr 26,2023 wewe na USHOGA ni damu damu kwa hiyo sishangai ukiutetea kwa nguvu zote na kuwakosoa wale wanaopinga USHOGA alafu shahidi wako wa nyuzi hiyo ni cocastic 😀😀😀wewe ni shoga mkuu
VAR CHECK

 
Back
Top Bottom