Dudu Baya hapati utamu kwenye kauli zake pasipokutamka neno shoga

Na wewe ni shoga. Katupa jiwe gizani, naona limekupata.

Nenda Muhimbili wakakuzibue ****** ili utoe vimelea kama neno shoga linakukera
 
MAMBA
DUDU BAYA
KONKI MASTER
I AM PUTIN
 
Aisee hii nchi ni kubwa! Hebu ufafanue kwa kina huyo Dudubaya amemuita nani shoga, na chanzo cha ugomvi ni nini? Kuna watu nipo nao hapa, wanashangaa tu! Yaani hawaelewi chochote.
 
wewe na huyo dudu baya hamna utofauti, sijui nini kimekukera kwa sababu wengi tumesikia kauli zake lakini kwa sababu hazitugusi hatukuona haja ya kuanzisha mjadala. Kwa kuanzisha mjadala ni kama unachochea moto kwenye kuni.
 
Lakini ungemfikishia Dudu Baya huu ujumbe ndiye anayetaka shoga kila anapozungumzia swala lolote
 
Na ajabu ni kwamba, hakuna mtu yeyote anayetajwa na Dudubaya kama ***** ashawahi mpeleka mahakamani kwa kesi ya madai...
Sijajua kwanini lakini kila msanii anamaita shoga
 
Na wewe ni shoga. Katupa jiwe gizani, naona limekupata.

Nenda Muhimbili wakakuzibue ****** ili utoe vimelea kama neno shoga linakukera
Bro kinachonichukiza ni kuona mtu akitukana kila wakati
Lakini vile vile maneno anayotoa ni machafu sana
Hakuna jambo baya kama kudhalilisha wanaume
Yeye anatamka kwa lengo la kuwadhalilisha sio kuwafundisha
Kumuita mwanaume mzima kama Diamond Platnumz shoga tena baba ni mbaya sana sio uungwana bro
 
Aisee hii nchi ni kubwa! Hebu ufafanue kwa kina huyo Dudubaya amemuita nani shoga, na chanzo cha ugomvi ni nini? Kuna watu nipo nao hapa, wanashangaa tu! Yaani hawaelewi chochote.
Dudu Baya amekuwa mtu wa kuonesha chuki kwa wasanii wenzake wa kiume
Chuki zake anazimaliza kwa kuwaita mashoga
Ametukana wasanii wakubwa wengi mfano Diamond Platnumz ambaye ni baba wa watoto watatu jambo ambalo linakera sana
Hata mazungumzo yake unapotaka kusikiliza lazima atakuudhi kwa kuzungumzia ushoga ambao hata wakati mwingine hukutaka kuusikia
 
wewe na huyo dudu baya hamna utofauti, sijui nini kimekukera kwa sababu wengi tumesikia kauli zake lakini kwa sababu hazitugusi hatukuona haja ya kuanzisha mjadala. Kwa kuanzisha mjadala ni kama unachochea moto kwenye kuni.
Kinachoniuzi bro ni matusi yake
Mfano mm naelewa sana nyimbo za Bongo Flava na kawaida nakuwa nmeshawakubali wasanii sasa kuona wakitukanwa huwa inakera sana
Mtu kama Diamond Platnumz ni baba wa watoto watatu leo anaitwa shoga
Sasa heshima yetu kama wanaume iko wapi
Wakati mwingine wala hukutaka hata kusikia neno Shoga lakini Dudu Baya atakuletea huwa inakera sana
 
Hata humu kuna members washenzi, hawakamilishi comments zao bila kutaja *****. Inaonesha wanaotaja maneno hayo wanajihusisha na vitendo hivyo
Huwa wanaudhi sana bro kwasababu kuna wakati mwingine wala hukutaka kusikia neno hilo lakini watakuletea
 
Kumbe ndio akili yako ilivyo?? Sasa shoga hawezi kuwa baba? Au uliambiwa Shoga ni tasa au mgumba?? Lol
 
Diamond ni Shoga, tena role ya Versatile, na aliliwa na P didy, yeye mwenyewe alithibitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…