Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kwa nini Airport ya Dar es Salaam huwa hawauzi Ugali, ubwabwa kama wa mtaani, pilau, ndizi, mchicha, metembele, magimbi, mihogo, viazi vitamu, dagaa, chips mayai(zege) na vyakula vingine vya aina hiyo vya Kiswahili, Kitanzania au kiAfrika zaidi?
Soma Pia: Unauonaje ushauri wa "Dudubaya" kuhusu vyoo vya mwendokasi na uwanja wa ndege?
Soma Pia: Unauonaje ushauri wa "Dudubaya" kuhusu vyoo vya mwendokasi na uwanja wa ndege?