Dudu baya kauliza maswali ya msingi kuhusu Airport ya Dar es Salaam(JKNIA)

Dudu baya kauliza maswali ya msingi kuhusu Airport ya Dar es Salaam(JKNIA)

fikiria treni hii ya dar dom, wanakataza kuingia na maji yako alafu mle ndani wanakuuzia yale maji ya 500 wanauza elfu moja...huu sio uhuni?. Yaani nchi yetu wenyewe tunakuwa watumwa kweli....sasa akiuza mwamposa utawasikia wanavyotanua madomo yao
Wakati wa safari vyakula,vinywaji huwa bei juu kdg
Hivi ukisafiri na bus mkisimama mambo au sehemu za kula bei unaionaje

Ova
 
Kwa nini Airport ya Dar es Salaam huwa hawauzi Ugali, ubwabwa kama wa mtaani, pilau, ndizi, mchicha, metembele, magimbi, mihogo, viazi vitamu, dagaa, chips mayai(zege) na vyakula vingine vya aina hiyo vya Kiswahili, Kitanzania au kiAfrika zaidi?
Kuweka biashara ya vyakula mahali huwa na sehemu ya utafiti wa mahitaji ya wateja kwenye eneo husika. Vyakula vyenye mahitaji machache haviwekwi.

Fikiria, huyo Dudubaya anayetaka ugali ni mara ngapi mmemwona anasafiri? Nadhani mara moja au mbili kwa mwaka, hawezi kuweka bidhaa kwa mteja wa mara moja baada ya miezi sita.

Jibu la kumpa Dudubaya ni kwamba mahitaji ya ugali yakiongezeka, basi hivyo vyakula atavikuta pale.

Ova
 
1725401921868.png
 
Kwa nini Airport ya Dar es Salaam huwa hawauzi Ugali, ubwabwa kama wa mtaani, pilau, ndizi, mchicha, metembele, magimbi, mihogo, viazi vitamu, dagaa, chips mayai(zege) na vyakula vingine vya aina hiyo vya Kiswahili, Kitanzania au kiAfrika zaidi?
Madirisha ya ndege huwa hayafunguki, makombora yakianza kurushwa ndege itajaa upepo kisha itapasuka.
 
Hartfield-Jackson Atlanta international Airport niliwahi kukuta ugali matembere na samaki wa kukaanga, ila wabongo wanajidai wazee wa burger
 
Mkuu mfano wa hiyo picha
Unaingia na maji yako yakiwa kwenye chupa za maji zile za michezo usibebe hizi za makampuni ya maji.
ya chupa ya Wana michezo.
Maana walinitia hasara maji yangu niliacha hapo
 
Ilikuwa inaitwa flamingo

Ova
Flamingo ilikuwa restaurant moja ghari sana juu departures lounge. Juu kabisa kwenye paa za arrival na departure lounge kulikuwa na wajasiliamali waliokuwa wanapika vyakula vyetu hivi.
 
Unaingia na maji yako yakiwa kwenye chupa za maji zile za michezo usibebe hizi za makampuni ya maji.
mbona wao wanauza maji ya afya 500ml kwa elfu moja??, wakati maduka yetu ya kila siku huku nje tunanunua mia 5 hadi mia 3 tu
 
Wakati wa safari vyakula,vinywaji huwa bei juu kdg
Hivi ukisafiri na bus mkisimama mambo au sehemu za kula bei unaionaje

Ova
kwenye basi ukipanda na chakula chako na maji yako hawazuii, kwenye treni wanazuia...why?. Inamaana wanataka kuwafundisha wa magari kwamba walikuwa wanakosea kuruhusu watu kuingia na vyakula na maji?, kwani lengo la usafiri ni kumsaidia mtu au kumkomesha?...tena treni wanajinadi kuwa ni ya serikali kweli????
 
Biashara inaangalia bidhaa gani inatembea sana, waswahili unaowasema wewe huko airport hawafiki na wakifika tu wanataka pizza washakua wadhungu. Unataka tupate hasara.
 
Back
Top Bottom