Kwasababu wanaoenda huko sio hao wanaoitwa/nasibishwa kama Watanzania wa kawaida/wanyonge...Kwa nini Airport ya Dar es Salaam huwa hawauzi Ugali, ubwabwa kama wa mtaani, pilau, ndizi, mchicha, metembele, magimbi, mihogo, viazi vitamu, dagaa, chips mayai(zege) na vyakula vingine vya aina hiyo vya Kiswahili, Kitanzania au kiAfrika zaidi?
Unaingia na maji yako yakiwa kwenye chupa za maji zile za michezo usibebe hizi za makampuni ya maji.fikiria treni hii ya dar dom, wanakataza kuingia na maji yako alafu mle ndani wanakuuzia yale maji ya 500 wanauza elfu moja...huu sio uhuni?. Yaani nchi yetu wenyewe tunakuwa watumwa kweli....sasa akiuza mwamposa utawasikia wanavyotanua madomo yao
Ugali mlenda ugali dagaaa magimbi chai ya rangi...mahindi ya kuchoma senene ugali kisamvu cha naziWazungu wenyewe wakija wanapenda wale local foods
Ova
Shilole anawezaNdio fursa hizo sema gharama za airport kuzilipa kwa kuuza ugali nyama na ugali mlenda itakuwa mtihani sana
Shishi food apewe locationShilole anaweza
Wageni watakula vyakula vya Kiswahili na Kitanzania, au wageni wanataka kula burgers zao tu hata hapa bongo??Kwasababu wanaoenda huko sio hao wanaoitwa/nasibishwa kama Watanzania wa kawaida/wanyonge...
Wanyonge ambao mnaambiwa muwe wazalendo ndio wanaokula hivyo vyakula.
Hii migahawa inakuwa mule ndani kati ya vitu msafiri anakuwa navyo sensitive ni chakula hivyo hawezi kabisa kujaribu chakula kipya na wataofaya hivyo ni wachache sana wengi wataenda kwenye vile wamezoea (chicken wings n.k kumbuka hata peps ya airport mule ndani si hii ya kwenye duka la mangi)Wageni watalipia ghali tu kuonja vyakula vya bongo.
Kwenye Ethiopia Airlines huwa wana serve chakula chao cha asili, Injera.Hii migahawa inakuwa mule ndani kati ya vitu msafiri anakuwa navyo sensitive ni chakula hivyo hawezi kabisa kujaribu chakula kipya na wataofaya hivyo ni wachache sana wengi wataenda kwenye vile wamezoea (chicken wings n.k kumbuka hata peps ya airport mule ndani si hii ya kwenye duka la mangi)
Kwani hao wenzako wanyonge hawasafiri..Wageni watakula vyakula vya Kiswahili na Kitanzania, au wageni wanataka kula burgers zao tu hata hapa bongo??
Ilikuwa inaitwa flamingoIliwahi kuwepo hotel moja ya kiswahili terminal 2 miaka ya tisini, kule juu kwenye balcony iliyotumiwa na wadau wa kuangalia ndege zinazotua na kuruka. Tangu mapigo ya 9/11/2001 maeneo yale yote mawili yamefungwa.