Ghost Worker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 1,412
- 1,864
Dudubaya ni maarufu?
Ikiwa Dudubaya bado ni star basi Chibu Dangote atakuwa sun!
Dudubaya ni maarufu?
una umri gani nyoka.. huyu msanii alishatikisa hii nchi kwa ngoma kali sana...Siujui huo umaarufu wake anaojipa.
muulize mr Nice au ShetaHivi Dudubaya ni nani?
Nilifikiri ukishakuwa maarufu na vitumbua ndo unapunguziwa bei?
...mwanaume anae-fake ana vimelea vya uchoko!Dudu baya kama umo humu just letting u know u r one veeeeery stupid man.kwanza mimi sijui nyimbo yako hata moja.watu wasio kuwa na kitu ndo nyinyi kazi yenu kujipandisha juu.hamna kitu kizuri kuwa na simple life.magu mwenyewe alikuwa mwanza kwenye mgahawa ije kuwa wewe tusiyekujuwa!
Sio mimi, Dudu mwenyewe huyu hapa:Kumbukeni kutofautisha Star na Famous, kiswahili tunasema Nyota na Maarufu.
Dudu bado ni maarufu ingawaje siyo star.
Kisha, Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili wanamaliza kazi kwa kutoa tafsiri ya "star"... tafsiri #4“Kuna wakati huwa nasema kwanini nilitaka kuwa star na nikawa star kwa sababu kuna wakati mwingine unatamani kufanya jambo fulani lakini unashindwa kufanya kutokana na umaarufu wako, maisha ya umaarufu magumu sana haya mambo yanatukuta hata mtaani mfano unaweza kuwa unakaa uswahilini unakaa Manzese, Tegeta, Mwananyamala mtu mwingine anaweza kukudharua kumbe ni maisha ya kawaida kama watu wengine. Mfano mzuri mimi napenda sana mihogo na vitumbua lakini nashindwa kwenda kununua mtaani kwani nikisema niende tayari watu wanaleta skendo mtaani,” alisema Dudubaya.
Sio mimi, Dudu mwenyewe huyu hapa: Kisha, Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili wanamaliza kazi kwa kutoa tafsiri ya "star"... tafsiri #4
View attachment 345088
Ana lazimisha tu sasa, time is over.Dudubaya ni maarufu?
Kishatoa tayari, nimeisiki juzi hapa kwenye kipindi cha Planet Bongo cha EA radio....Sjui anataka kutoa ngoma mpya?
Nina miaka 54. Na wewe chura una umri gani?una umri gani nyoka.. huyu msanii alishatikisa hii nchi kwa ngoma kali sana...