Dudu Baya: Maisha ya umaarufu magumu sana, nashindwa kununua mihogo na vitumbua

Dudu Baya: Maisha ya umaarufu magumu sana, nashindwa kununua mihogo na vitumbua

Anamtafuta Sheta aka Baba Kaila ampe kichapo kwa kijiita Mamba wakat yy hiyo ndio aka yake
Hahahahahaha jamaa kafulia sana juz nilimwona mitaa ya tgt kwa ndevu kwenye bajaj amevaa bens na yeboyebo za adidas
 
Dudu baya kama umo humu just letting u know u r one veeeeery stupid man.kwanza mimi sijui nyimbo yako hata moja.watu wasio kuwa na kitu ndo nyinyi kazi yenu kujipandisha juu.hamna kitu kizuri kuwa na simple life.magu mwenyewe alikuwa mwanza kwenye mgahawa ije kuwa wewe tusiyekujuwa!
 
Dudu baya bana....nyie mnao mu interview mwambieni asijitese bure...apige tu mihogo yake coz tupo tunaodhani kwa hali ilivyo sasa hata huo mlo mmoja ni wa kuotea.
 
He's been givven lots of media attention lately..............Sjui anataka kutoa ngoma mpya?
 
Dudu baya kama umo humu just letting u know u r one veeeeery stupid man.kwanza mimi sijui nyimbo yako hata moja.watu wasio kuwa na kitu ndo nyinyi kazi yenu kujipandisha juu.hamna kitu kizuri kuwa na simple life.magu mwenyewe alikuwa mwanza kwenye mgahawa ije kuwa wewe tusiyekujuwa!
...mwanaume anae-fake ana vimelea vya uchoko!
...umejuaje kama ni 'veeeeeery stupid man' na hana kitu wakati humjui??..
.....mchane kiume sio unabanabana pua kama unatafuta basha humu!
 
Kumbukeni kutofautisha Star na Famous, kiswahili tunasema Nyota na Maarufu.

Dudu bado ni maarufu ingawaje siyo star.
Sio mimi, Dudu mwenyewe huyu hapa:
“Kuna wakati huwa nasema kwanini nilitaka kuwa star na nikawa star kwa sababu kuna wakati mwingine unatamani kufanya jambo fulani lakini unashindwa kufanya kutokana na umaarufu wako, maisha ya umaarufu magumu sana haya mambo yanatukuta hata mtaani mfano unaweza kuwa unakaa uswahilini unakaa Manzese, Tegeta, Mwananyamala mtu mwingine anaweza kukudharua kumbe ni maisha ya kawaida kama watu wengine. Mfano mzuri mimi napenda sana mihogo na vitumbua lakini nashindwa kwenda kununua mtaani kwani nikisema niende tayari watu wanaleta skendo mtaani,” alisema Dudubaya.
Kisha, Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili wanamaliza kazi kwa kutoa tafsiri ya "star"... tafsiri #4
Screenshot_2016-05-05-10-50-09.png
 
Umaarufu upo kichwani mwa mtu mwenyewe, jamii haina mpango wa maisha ya mtu binafsi.
 
Back
Top Bottom