Ni ujinga na upuuzi kumuongelea ruge ambaye ni marehemu, either kwa ubaya au kwa uzuri maana hasikii tena ya duniani.Kwakuwa marehemu hawezi tena kumnyonya MTU aliyehai, Huwa MTU akifariki tunaachana na maovu yake tunamsindikiza kwa mema. Hata kama marehemu alikuwa mwizi, kiafrika huwa tunamuazima sifa nzuri na kumsindikiza. Dudu jina lako lisikuathiri sana, samehe, songa mbele pambana
Kwa kuwa sheria zinamtambua MAREHEMU kuwa anaweza pia kudhalilishwa, basi kumbe hata kumwongelea kwa kumsifu ama kumkashifu ni halali kisheria. (Rejea kifungu cha 35 cha sheria Na. 2/2016.Ni ujinga na upuuzi kumuongelea ruge ambaye ni marehemu, either kwa ubaya au kwa uzuri maana hasikii tena ya duniani.
Muziki unabadilika na pia msanii anapaswa abadilike. Dudubaya ni mwanamuziki mzuri sana ila ameshindwa kubadilika ndiyo maana amepwaya kwenye game. Wakongwe waliobadilika ni Dully Sykes, Prof. Jay, J dee na Jmoo hawa wamebadilika ndiyo maana wanaendelea kuhit mpaka leo.Eti jamani, Konki ndiyo nini?
All in all looks ana hoja ingawa ni ya upande mmoja!
hujanielewa, neno konki ndiyo nimelisikia leoHiyo konki unayoidharau
Saida alipigwa na mzee mutamweeeeh nkimkumbuka saida carol mweeeh jamaaan
Saida alipigwa na mzee muta
Ruge hata hausiki na Saida kumbka alikuja mjini mshamba .......
Siku zote mjinga ni wakati wa kwenda wakati wa kurudi Ushakuwa mjanja
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani huyu jamaa ni Msukuma, empty headeddudubaya ana ushamba mwingi hakuwa na usanii wowote wa maana kipindi icho.
ile kusifiwa upuuzi wa kuwadharirisha wengine kisa vita ya mawingu na wasafi basi kaona anakubalika sana.
kama ruge alikuwa anawanyonya kwa nini hawakwenda pengine ama kuanzisha studio yao.
aache utoto, kesho yakimfika atakosa msaada.
duh..... hahahaha..... mshikaji anadhani hatakufa yeye??
We jitom-b mzee baba ruksaahsante mzee wa ova
sema mzee wale dada zako ni kwere pale kondoa wananisumbuaga sana nkitoka arusha kwenda dodoma kituo lazima nifike pale nile vindege na mtoto mmoja mzuriiiiii ndo niende zangu dom we ni shemeji yangu by default