Dudubaya amjibu Mwakyembe, azidi kumshukia Ruge Mutahaba

sio lazima ulie ingawa pia sio lazima ufurahie hadharani mbele ya watu wanaolia hadharani.
.............Itapendeza,tusiwe biased hoji na hili!

Ni nani aliye nyuma ya Musiba Siprani,yeye anaitisha press kabisa kuongea ujinga kwa watu walioumia iwe moja kwa moja kwenye miili au kwenye akili zao,kila mmoja psychological ana style ya ku-deal na adui yake siyo dudu hata wewe hapo unayo so kama wewe utaweza kuhuzunika na adui yako kwenye matatizo yake wengine hawapo hivyo acheni kulazimisha watu kulia.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Usilazimishe watu wote wawe na akili zinazofanana. Waache watu watoe feelings zao na huenda wakisikilizwa tutajua ni wapi pa kurekebisha. Naamini katika uhuru
 
Eti mpaka dadaenu Wa los Angel's nae analia wakati alikuwa anamponda daily,, bora dudu na jide wameweka unafki pembeni
Mange mnafki sana,Mange ndo aliepublish voices za Ruge analilia penzi. Hizo voices ndo zilimmaliza Ruge. Naamini Ruge aliumia sana dunia nzima kusikia anavyolilia penzi. Mwanaume tena Boss,motivational speaker kumbe na yeye ana kamanda wake.
 
Based on his previous utterances na sio kwa hili tu nfikiri hayupo sawa upstairs
 
Ukweli siku zote humuweka mtu huru.Watu hawafunguki ndio maaan wanakuwana mamisongo ya mawazo.Lahabongo mtu anaweza akakusifia mbele ya watu au mbele yako,alafu nyuma ya pazia akakuponda ile mbaya,mi sinaga hizo aisee ukinikwaza nakupa makavu yako hapohapo hata uwe mama yangu mzazi,ila tu nitafikisha ujumbe kistaarabu bila matusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Based on his previous utterances na sio kwa hili tu nfikiri hayupo sawa upstairs
Kuna kitu mnajisahaulisha au hamkijui.Hivi kuna muda maalumu wa mtu kusahau au kukumbuka alichotendewa kwa wema au ubaya?Huko kunaitwa kupangiana.
 
Hivi nawe unataka kuamini huyo Dudu anajua hata anaongea nini?

Kwa hiyo kati ya Watu woote yeye akawa ni kati ya waliochaguliwa na Ruge kudhulumiwa? kwamba ana kipaji maalumu ama?

Yule hata ukimuweka chini akwambie amedhulumiwa nini hakuna cha maana atakachoongea, zaidi ya stori kama za Vibwengo, kila anayekuhadithia ukimuuliza kama amewahi kukutana nao atakwambia yeye amehadithiwa.

Wabongo ni wenye kasumba za ajabu, za uzushi uzushi tu.

Ndio maana nasisitiza hakuwa na sababu ya kuropoka hisia zake binafsi.
 
Kuna kitu mnajisahaulisha au hamkijui.Hivi kuna muda maalumu wa mtu kusahau au kukumbuka alichotendewa kwa wema au ubaya?Huko kunaitwa kupangiana.
Ndio maana nikasema based on his previous. Sio kwa hili tu bali matamko mengi ya kabla. Sasa kote huko katendwa yeye tu? spare me
 
Umejiamulia mwenyewe kumchukulia kwa negative attitudes. Hata kuongea hisia/yaliyopo moyoni mwake unaita kuropoka.Kumbe hauwezi,hautaki wala haupendi kumsikiliza nini alichonacho!
 

😀😀 mie shule niliyosoma haikua na somo la historia hivyo historia siijui twende kwa topic huyo jide ni mkongwe tu ka walivyo wakina baz baba umesonisoma but kwa soko la sasa lakimzik nafasi anayokwako tu na kwa wale wenye kutegemea historia kama ww

pili mzee baba unapoint dhaifu sana unaposema diamond hashoboki kidezi dezi coz huyo jamaaa anatumia akili, mond anajua kutumia bifu iliapate mpunga maaana hadi hapo alipofikia now anaujua msaada wa ruge

"jifunzeni kuzingatia ili-mwachane na yasiyo wahusu UNAFIKI NI KUMSEMA VIBAYA GIRL/BOY FRND WAKO WA ZAMANI AKATI MWANZONI MLIKUA MNAVUANA CH****PI,WCB NA CLOUDS WANABIFU LA KIBIASHARA SIO KAMA HAO WANAFIKI UCHWARAAAA"


hauwezi jua kitu kwa kusikiliza ila tu unaweza elewa jambo kwa kusikia sa wewe subiria uonyeshwe mabaya tu wakati wenzio tushaona mazuri yake

nazani umenisoma mkuuu
 
Umejiamulia mwenyewe kumchukulia kwa negative attitudes. Hata kuongea hisia/yaliyopo moyoni mwake unaita kuropoka.Kumbe hauwezi,hautaki wala haupendi kumsikiliza nini alichonacho!
Sidhani kama ni kujiamulia, nimewasikiliza sana wanaosema wamedhulumiwa wengi kama sio wote hawana hoja za maana zaidi ya hisia tu.

Ruge ndio amewafanya hao Wasanii wamehama mikoa yao kumfuata Dar, wamefika walipofika kama wenzao wengine walipofika sasa Mtu uwezo ukififia lawama anarudishiwa Ruge.

Hivi kuna azimio la nchi lilipitishwa kuwa lazima Wasanii wapitie kwa Ruge?

Hivi kama kweli kuna alichokukwaza Ruge hakuna mchango wake mpaka wakawa hapo walipo? kwa nini wasijiulize kwa nini hawakuwa na uchaguzi zaidi ya kukimbilia kwake?

Kwa nini pia wasiseme walichofaidika kutoka kwake badala ya hizo lawama peke yake?

Ni swala la busara zaidi kuliko kushangilia ujinga wa Wachache wanaodhani hisia zao zina msingi.

Wanasema kama kuongea ni dhahabu basi kunyamaza ni almasi.
 
Bado ninasisitiza.Weye unapenda kusikia ukipendacho tu.Kwani mtu akieleza alipokwaza ni crime? Kupitia kwa Ruge yawezekana ilikuwa ni hatua ya safari za hao wasanii.Kuuliza kwamba ..."kwani ilikuwa ni lazima?"...Nami nitakutaka urudishe mishale ya SAA nyuma ili ifutike na isiwe lazima. Tujifunze kuwasikiliza watu wanasema nini!Ni juu yetu kuchambua asemacho kulingana na ufahamu wake.Tukiendelea hivi tutakuwa tunataka watu waamini kwamba wote waliolalamika ni waongo na watungaji wa mambo na mmoja anaonewa.Kwa nini aonewe yeye tu na wote hao?
 
Mange mnafki sana,Mange ndo aliepublish voices za Ruge analilia penzi. Hizo voices ndo zilimmaliza Ruge. Naamini Ruge aliumia sana dunia nzima kusikia anavyolilia penzi. Mwanaume tena Boss,motivational speaker kumbe na yeye ana kamanda wake.
[emoji16][emoji16][emoji16]kamanda wake
 
Wanaolalamika wengi hawana hoja, huo ndio msingi wangu.

Wote wanaolalama ni walioishiwa, na wanataka tuamini kuwa wao ndio waliolengwa na Ruge.

Huwezi kuwasisikia kina AY, Mwana FA n.k wakilalama, sasa akili haikwambii ni tofauti tu ya kiakili inawagharimu, Dudu hana vision za AY na hilo ndio tatizo wala sio kudhulumiwa.

Kuna Wasanii wengi kama ungewauliza wachague kfanya kazi na Ruge waibiwe au waende kwingine, nina imani wangemchagua Ruge, na ni wale wenye vision tu na si sampuli ya kina Dudu baya.

Ruge kama Binanadamu mwingine hawezi kukosa mapungufu, lakini natamani kusikia kutoka kwa Watu makini na sio hawa Waropokaji wasio na vision.
 
Huyo Pyscho alikua wapi kulalamika wakati marehemu yupo hai? leo amefariki ndio analalamika sasa nani atamsaidia wakati mlalamikiwa amefariki,
hivi nyie watu mnatumia cocaine au heroin?
mbona alilalamika kabla ya umauti kumkuta ruge
 
Nimekuleza kuwa yawezekana wakawa hawajui mbinu mzuri ya kukueleza hoja zao.Naamini hoja wanazo isipokuwa wanafikishaje ujumbe.Kila mtu ana uwezo na namna ya kueleza jambo.Na bado kushindwa kujieleza kwa ushawishi kunaweza kusiondoe ukweli.Weye umekazania ushawishi wa kujieleza ki-hoja badala ya kuuelewa ukweli na bado unakiri kuwa Ruge kama binadamu lazima alikuw na udhaifu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…