Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Dudubaya amshauri Tundu Lissu kuhamia CCM au vyama vingine akidai hatamweza Mbowe na wala CHADEMA haiwezi kufa kwasababu walikuwepo wanachama wakubwa sana akiwemo Chacha Wangwe, Ndesamburo, Lowasa, Alphonce mawazo na walipoondoka CHADEMA haikufifia
Tazama Video hii
Tazama Video hii