Dudubaya: Polisi msihangaike kunitafuta, nakuja mimi mwenyewe

Dudubaya: Polisi msihangaike kunitafuta, nakuja mimi mwenyewe

Wabongo kwa kusifia wajinga hatujambo😀😀
Mlevi anayetukana hovyo mtandaoni anaonekana shujaa kisa eti 'anapinga ushoga'
Dudubaya kutukana hovyo mtandaoni ni jambo moja, waziri kujipa mamlaka asiyokuwa nayo ya kuita raia reja reja na kuwafutia makosa ni jambo lingine baya zaidi.
 
Msanii Dudubaya aitikia wito wa Waziri wa mambo ya ndani Katambi baada ya Waziri kutoa maagizo kwa jeshi la Polisi Dudubaya akamatwe baada ya kukaidi kuitikia wito wake wa kwanza hapo juzi.

Soma: Waziri Katambi aagiza Dudubaya akamatwe kwa kukaidi Wito wa Serikali

"Sijawahi kuwa mkaidi kwa jeshi la Polisi hivyo nitakuja mimi mwenyewe sasa hivi, Polisi msihangaike hata kunitafuta" amesema Dudubaya katika video aliyojirekodi na ku-share mtandaoni.

Safi sana Dudubaya. Dawa ya wajinga kama hawa waliopewa madaraka makubwa kwa bahati mbaya, ndiyo hii! Nenda ili tuone kama na wewe watakubambikia kesi ya ugaidi, uhaini au ile ya utakatishaji fedha na kuendesha genge la uhalifu ili ukose dhamana.
 
Back
Top Bottom