Dudubaya: Polisi msihangaike kunitafuta, nakuja mimi mwenyewe

Wabongo kwa kusifia wajinga hatujambo😀😀
Mlevi anayetukana hovyo mtandaoni anaonekana shujaa kisa eti 'anapinga ushoga'
Dudubaya kutukana hovyo mtandaoni ni jambo moja, waziri kujipa mamlaka asiyokuwa nayo ya kuita raia reja reja na kuwafutia makosa ni jambo lingine baya zaidi.
 
Safi sana Dudubaya. Dawa ya wajinga kama hawa waliopewa madaraka makubwa kwa bahati mbaya, ndiyo hii! Nenda ili tuone kama na wewe watakubambikia kesi ya ugaidi, uhaini au ile ya utakatishaji fedha na kuendesha genge la uhalifu ili ukose dhamana.
 
You better watch your back!
Mambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…