Dudubaya: Watu mfano wa Chidi Benzi hawatakiwi kusaidiwa

Dudu kaongea ukweli ila wenye game lao hawatapenda kwa kuwa hayupo kilingeni. Wengi wanamsaidia Chid Benz kwa kuataka umaarufu na kuonekana kwenye jamii kwamba ni watu wema.
 
Mbwa ni mbwa hata ukimpeleka ulaya
 
Hawa kuna lao jambo sio bure!

labda kama wanataka kujinufaisha kwa matatizo yake ...akae mwezi mmoja apate kajinafuu ili atoke wafanye naye nyimbo waziuze na kukusanya misaada yake kaama wasamaria ..tunakumbuka wale waliotumia msiba wa Ngwair kukusanya michango yake wakti akiwa hai waliuza nyimbo zake
 
Bora ameongea msaniii mwenzao nadhani hapo lazima mtakuwa mmemuelewa vizuri dudubaya, kuna tatizo kwa wasanii wetu kujiingiza ktk matumizi ya madawa ya kulevya, kunahaja sasa ya kuwabaini na kuwa chukulia hatua za kisheria ili kukomesha tabia hiyo. Utumiaji wa madawa ya kulevya ni Kosa la Jinai hivyo tuwafichuwe wale wote wanao endelea kutumia. Jeshi la Polisi fanyeni uchunguzi na muchukue hatua.
 
Binafsi huwa nampenda sana dudubaya,coz yupo real sana,hana u'fake fake kama wengi wao walivyo,ana interview yake pale mkasi ipo youtube huwa sichoki kuitazama,kwani huwa nacheka kuanzia mwanzo hadi mwisho..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…