Duh hii Kali ya mwaka, nimepokea simu kutoka kwa mwana ukoo ambae ni black sheep kwenye familia yake. Alichoniambia kimenishangaza

Duh hii Kali ya mwaka, nimepokea simu kutoka kwa mwana ukoo ambae ni black sheep kwenye familia yake. Alichoniambia kimenishangaza

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Black sheep ; Mdogo wangu shemeji yako ana mimba ina miezi minane sasa nakupa taarifa mapema kabisa ujue kaka mwezi ujao anajifungua so nikija kukupigia simu kukuomba msaada usishangae. Pambana pambana kaka unitafutie hela kidogo ili isaidie atakapo jifungua.

Me: siko powa kaka siwezi kukuahidi chochote jaribu kuwachek ndugu wengine.. period.

Black sheep: kaka fanya unavyo weza kaka kipatikane chochote kaka mambo tight sana wadogo zangu nipigeni tough mi kaka enu

SIFA ZA BLACK SHEEP
1. Age : 41 years old.

2. Kazi: Jobless / asiependa kujishughulisha . Anachagua kazi na akipata hela yote inaishia kwenye pombe. N.a. akilewa anaenda kumsumbua mama ake mzazi. Mfano kaka zake wakimnunulia mama ao mfano Michele kilo now yeye anaenda kuona zote anaenda kuuza kisha anaenda kunywa gongo na bangi halafu jioni anakuja kumsumbua mama ake na watoto wa dada zake wanao lelewa kwenye nyumba yao ya " ulisi"

Akitoka kulewa usiku akifika nyumbani ana waamsha watu wote wapige and story sasa ole wenu msiamke.

Kwa ufupi jamaa ni stubborn sana na anawasumbua sana ndugu zake na mama ake.. vituko vya huyu jamaa mtoto iddi wa Juma Nature ni mwanafunzi wa chekechea na jamaa ni Professor

Sifa za mwanamke: characterless woman

Unknown to the family

Ni wale wanawake wa KUKUTANA kwenye gongo probably hata mtoto sio mtoto wake.

Unajijua huna uwezo. Huna shughuli ya kufanya. Hujishughulishi na chochote. Kazi yako ni bangi na gongo. Ukorofi wa miaka ya 90 halafu unaenda kumleta mtoto duniani ili usumbue watu?

Kama huna uchungu na mama ako aliekuzaa huo uchungu kwa mtoto ambae wala huna uhakika.kama.ni mtoto wako unatoa wapi?

WATANZANIA : ZINDIKENI / TAMBIKENI WATOTO WENU WAKIWA WADOGO. FUATENI TARATIBU SAHIHI ZA KUTUNZA VITOVU VYA WATOTO WENU.

Ndio maana nawashangaa sana nyie vijana wa leo mnao ji stress kwa kuwapeleka watoto wenu English Mediums wakati hamja wazindika vizuri wala hamjawafanyia matambiko ya kwenu wala hamjafuata taratibu sahihi kuhusu VITOVU vyao... Dunia mnaisikia eeh?
 
"ulisi" ndo Nini mkuu hiyo Familia yenu mnabidi muwasomeshe watoto shule nzuri ili wajue hata kuandika then huyo Ndugu yako je amefika hatua ya Toto IDD au dunga mawe au sele Wa mboso?
 
Bangi unaisingiziaa bhana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Black sheep ; Mdogo wangu shemeji yako ana mimba ina miezi minane sasa nakupa taarifa mapema kabisa ujue kaka mwezi ujao anajifungua so nikija kukupigia simu kukuomba msaada usishangae. Pambana pambana kaka unitafutie hela kidogo ili isaidie atakapo jifungua...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2956][emoji2956]
 
"Bro Black Sheep" wako wengi wa hivyo.....

SWALI

Kwani bi mkubwa anayesumbuliwa na "mwamba" hakusimamia utekelezaji wa TAMBIKO JADI?
 
Black sheep ; Mdogo wangu shemeji yako ana mimba ina miezi minane sasa nakupa taarifa mapema kabisa ujue kaka mwezi ujao anajifungua so nikija kukupigia simu kukuomba msaada usishangae. Pambana pambana kaka unitafutie hela kidogo ili isaidie atakapo jifungua...
Sarufi ziumbe vizuri
Tutaelewa
 
K vant na gongo si kama vinafanana tu mkuu?, labda tofauti ni bei. Gongo haina shida
 
Back
Top Bottom