Mind your business little woman, Kinondoni ni Tanzania kama Kibera ilivyo ni KenyaKwani wewe mkaazi wa Kinondoni pia? Kulingana na jina lako hilo?
acha kuisingizia Congo mbona nimekupa na link hapo ya Google kwanini usiingie ni Nairobi hiyo kitongoji cha Kibera
sijasema Bongo na kwetu hata Manzese wameendelea
bofya hapa kibera kenya population - Pesquisa Google
View attachment 1241533
nimeshindwa kuielewa video ya Kibera kwani mwanzo - mwisho jamaa hajashuka kwenye gari ila tu anatuonesha Barabara na vijumba vya pembezoni
amesema Kibera is No 1 BIG SLUM in Africa and World
Hata Mama Tibaijuka alipokuwa UN Habitat aliishughulikia sana Kibera ili wawe wastaarabu vijumba vyao ni mabox askari wanafukuzana na machokoraa vurugu ikitokea inawakuta hata watoto waliojificha vijumbani
Kenya onesheni uhalisia wa maisha msijikweze
unaweza kukuta nabishana chokoraa wa Mungiki wewe nakwambia fungua link unasema Tundu Lissu mm huyo simjui na sio Kiongozi wangu au mjomba,Hapo ni congo bana...mabeberu tu hao, yule tuliyempiga risasi ndio kapeleka hzo hzo propaganda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
unaweza kukuta nabishana chokoraa wa Mungiki wewe nakwambia fungua link unasema Tundu Lissu mm huyo simjui na sio Kiongozi wangu au mjomba,
Kibera is the Biggest SLUM No 1 in the World
hujazaliwa tulishawakataa MANYANG'AUCcm hoyeeeee...wapnzani siku hz kuitwa mashoga ndio habari ya mjini[emoji122][emoji122][emoji122]
Wamevunjiwa nyumba serikali yetu ni serikali inayojali wanyonge watapewa nyumba nzuriTatizo mnapenda majigambo na kuwasahau ndugu zenu wengi wanavyoteseka.