Duh Evelyn Salt hujambo kwa kubadili lugha!Walokole kwa umbea tu hamjambo.....
CCM Ni mashetaniShetani ni mwizi. Lengo lake ni kukuibia afya yako, furaha yako na mafanikio yako. Hana mema anayoweza kukupa. Yesu anamwita shetani mwizi. Na anaeleza kuwa kazi za shetani ni kuiba, kuua na kuangamiza.
“Mwizi huja ili aibe, aue na aangamize. Mimi nimekuja ili wapate uzima, kisha wawe nao tele.”
— Yohana 10:10
Leo tumepata ufunuo huu. Shetani ni baba wa uongo. Hatuna haja ya kumtii baba huyu mwovu. Yesu alikuja kutuondoa katika mikono ya mtesi huyu:
1 Yohana 3:8b
"...Mwana wa Mungu alikuja duniani kuziharibu kazi za Ibilisi.”
Bwana asifiwe.....Duh Evelyn Salt hujambo kwa kubadili lugha!
Kumbe siku hizi ukweli unaitwa umbea?
balibabambonahi jifunze kuuzuia ulimi wako usinene mabaya (1 Petro 3:10-12).CCM Ni mashetani
Kiongozi ambaye huua wake naye hutoka kwa Mungu? Amri ya Mungu inaamuru "usiue" wewe unaua,je umetoka kwa Mungu? No Reform No election.CCM ni mashetanibalibabambonahi jifunze kuuzuia ulimi wako usinene mabaya (1 Petro 3:10-12).
Halafu inakuwaje mambo ya siasa unayaleta hapa? Ukipigwa 'bani' utamlaumu nani?
Anyway, nadhani pia haya Maandiko hujawahi kuyasoma:
Warumi 13:1-7 BHN
"Kila mtu anapaswa kuwatii wenye mamlaka katika serikali; maana mamlaka yote hutoka kwa Mungu; nao wenye mamlaka wamewekwa na Mungu. Anayepinga mamlaka ya viongozi anapinga agizo la Mungu; nao wafanyao hivyo wanajiletea hukumu wenyewe. Maana, watawala hawasababishi hofu kwa watu wema, ila kwa watu wabaya. Basi, wataka usimwogope mtu mwenye mamlaka? Fanya mema naye atakusifu; maana yeye ni mtumishi wa Mungu anayefanya kazi kwa faida yako. Lakini ukifanya mabaya, basi, huna budi kumwogopa, maana anao kweli uwezo wa kuadhibu. Yeye ni mtumishi wa Mungu, kuwaonesha ghadhabu yake wale watendao maovu. Kwa hiyo ni lazima kuwatii wenye mamlaka, si tu kwa sababu ya kuogopa ghadhabu ya Mungu, bali pia kwa sababu dhamiri inadai hivyo. Kwa sababu hiyohiyo nyinyi hulipa kodi; maana viongozi hao humtumikia Mungu ikiwa wanatimiza wajibu wao. Mpeni kila mtu haki yake; mtu wa ushuru, ushuru; wa kodi, kodi; na astahiliye heshima, heshima."
Na mtu wa kulindwa uhai wake alindwe.We submitted our freedoms in return of protection.What should we do when the sorvereign not only does not protect our freedoms and property but she bocomes a monister against us?balibabambonahi jifunze kuuzuia ulimi wako usinene mabaya (1 Petro 3:10-12).
Halafu inakuwaje mambo ya siasa unayaleta hapa? Ukipigwa 'bani' utamlaumu nani?
Anyway, nadhani pia haya Maandiko hujawahi kuyasoma:
Warumi 13:1-7 BHN
"Kila mtu anapaswa kuwatii wenye mamlaka katika serikali; maana mamlaka yote hutoka kwa Mungu; nao wenye mamlaka wamewekwa na Mungu. Anayepinga mamlaka ya viongozi anapinga agizo la Mungu; nao wafanyao hivyo wanajiletea hukumu wenyewe. Maana, watawala hawasababishi hofu kwa watu wema, ila kwa watu wabaya. Basi, wataka usimwogope mtu mwenye mamlaka? Fanya mema naye atakusifu; maana yeye ni mtumishi wa Mungu anayefanya kazi kwa faida yako. Lakini ukifanya mabaya, basi, huna budi kumwogopa, maana anao kweli uwezo wa kuadhibu. Yeye ni mtumishi wa Mungu, kuwaonesha ghadhabu yake wale watendao maovu. Kwa hiyo ni lazima kuwatii wenye mamlaka, si tu kwa sababu ya kuogopa ghadhabu ya Mungu, bali pia kwa sababu dhamiri inadai hivyo. Kwa sababu hiyohiyo nyinyi hulipa kodi; maana viongozi hao humtumikia Mungu ikiwa wanatimiza wajibu wao. Mpeni kila mtu haki yake; mtu wa ushuru, ushuru; wa kodi, kodi; na astahiliye heshima, heshima."
Uliyoyaandika.Inasikitisha nini?