Duh! Huyu Mkenya kwa ujasiri agoma kupisha msafara wa kiongozi uliokuwa umekiuka sheria barabarani

Duh! Huyu Mkenya kwa ujasiri agoma kupisha msafara wa kiongozi uliokuwa umekiuka sheria barabarani

Nikisema wakenya mna matatizo,hamnielewi
Huyo ni mpunbavu tu kama walivyo wakenya wengi
Sheria ya usalama barabarani inatoa ruhusa kwa askari kubadili uelekeo,kusimama au kuamuru vyovyote iwapo kuna dharura
Ndio mana utakuta askari anaongoza magari wakati traffic lights zinafanya kazi,kwa nini zikiwaka kijani hupiti unasubiri maelekezo ya askari?
MwaKa jana kenya walikufa walinzi sita wa kikosi cha ulinzi wa Rais wa kenya baada ya msafara wao kulipukiwa na lori la mafuta,kutokana na ushenzi kama huu
Mwaka juzi VP Ruto alijikuta anafika airport bila ya walinzi baada ya gari ya walinzi kuzuiwa njiani na kujikuta wakmuacha kiongozi peke yake
Ndio mana hatuwataki kwa vi tabia vyenu vya kiajabu ajabu
Umeona msafara,askari anakwambia pisha,umeng'ang.ania je kama ni kiongozi anawahishwa hosputali?
Halafu ni likikuyu hilo linamsifia royal blood mwenzake

Sheria ya usalama barabarani inaruhusu askari wa usalama barabarani kuelekeza magari au kusimamisha au kuamuru atakavyo ona shwari. Kawaida ya msafara, kabla kuondoka huwa wanatanguliza askari wa usalama barabarani na kuweka mambo sawa, na pia kunakua na pikipiki zinazotangulia ili kunyoosha barabara.
Lakini la kiongozi kuibukia watu barabarani tena anatumia upande wa barabara kinyume na sheria na kutumia ubabe wa redio mikononi, hilo wafanye Tanzania ambapo watu wamezoea kukaliwa, lakini hapa sisi tunakukataza na kukukumbusha sheria inavyosema.
Na ndio maana hatuwataki Watanzania maana nyie mlilemazwa na ujamaa kiasi cha kukubali kila mnachotapikiwa, hebu ona hii video ya polisi wenu wakihutubia kikao cha CCM na kushabikia, pumba kama hizo jaribu huku Kenya uone.
 
Kiongozi anaweza toka kwa dharura ofisini au nyumbani kwake
Wakenya mnatuhitaji mno!angalia Rais wako kaja kuomba radhi mwenyewe,ile ya kumtuma kazungu kaona haitoshi
Jaribuni kufukuza watanzania waliopo huko muone cha mtema kuni
 
Sheria Za kenya
Hujawahi ona askari kwa traffic lights amekusimamisha wakati traffic lights zimekuruhusu bradhee?
Hiyo sio ndio kazi ya askari wa trafiki? Inahusiana vipi na hiyo hoja yako kwamba viongozi wanakubaliwa kukiuka sheria na kanuni barabarani? Nioneshe ukitumia ushahidi kwamba sheria za Kenya zinawapa viongozi au mkenya yeyote yule uhuru wa kutozingatia sheria zenyewe.
 
Kiongozi anaweza toka kwa dharura ofisini au nyumbani kwake
Wakenya mnatuhitaji mno!angalia Rais wako kaja kuomba radhi mwenyewe,ile ya kumtuma kazungu kaona haitoshi
Jaribuni kufukuza watanzania waliopo huko muone cha mtema kuni

Kiongozi hata akitoka kwa dharura hutanguliza pikipiki mbele, usiwe unafikiri hizo pikipiki ni mapambo fulani tu ya kuonyesha ubabe, jinsi ya kufanikisha msafara wa rais ni somo la kipekee ambalo hupewa askari, sio kitu cha kukurupuka kama unavyofikiria.
Kama ujio wa rais wetu huko utawakosha ili tuendelee kuchuma hilo shamba la bibi, sioni tatizo maana nyie ndio wale wale wa kufurahi sana mkiitwa ndugu, ilhali mnaliwa na kubaki maskini.
 
Back
Top Bottom