Duh kumbe Wanyonge na Mafuraka wa TASAF ili wapewe chochote kitu, wanalimishwa Mitaro , Kuchonga Barabara , hii ni Aibu!!

Duh kumbe Wanyonge na Mafuraka wa TASAF ili wapewe chochote kitu, wanalimishwa Mitaro , Kuchonga Barabara , hii ni Aibu!!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Wakuu ni Aibu, Udhalimu na Uonevu mkubwa wanaofanyiwa Hawa Ndugu zetu.

Serikali ya Rais Samia, inawafanyisha Kazi Bibi na babu walochoka kabisaz Shughuli za kuchongaabarabara, Njia ,Mitaro na kusafisha vichochoro Kwa Malipo ya Fedha za TASAF.


Imeniuma sana sana sana, Hata MAGUFULI hakufanya hivi!!.

Yaan Fukara wa Tanganyika anafanyishwa Utumwa Ndani ya Nchi yake chini ya Rais Mzanzibar??.

Bibi Masikini, mjane ,wa miaka 70 ???

Hii ni ajabu
 
Hiyooo ni nchi zima nmekuta sehem wamemega kiwanja changu eti barabara ya tasaf nlienda kwa mtendaj nkapiga bonge la biti na lzm nikasawazishe
 
Hao wanafaa walimishwe,unakuta wengi wamejiingiza kimagumashi na ni vijana wenye nguvu,watu kama hao hawana maana kwenye jamii,yaani kuna wengine michango tu ya serikali ya mtaa hawatoi kisa wanajifanya maskini,hawana nguvu ya kutafuta pesa,lakini kwenye vibarua wanafanya kazi kuanzia asubuhi hadi jioni lakini maendeleo yenu binafsi ya serikali ya mtaa hawana mchango wowote ni sugu na miundombinu mnayojenga wanatumia.

Kama nadanganya sasa hivi waangalie kazi za TASAF wanafanya kwa kuwahi hawana shida ila ikija kazinya serikali ya mtaa hata kusafisha njia wanasema wao wana afya duni,hao wapigishwe kazi nao pia wawe sehemu ya maendeleo ya jamii siyo wanaishi kama kunguni tu.
 
Back
Top Bottom