Wakuu ni Aibu, Udhalimu na Uonevu mkubwa wanaofanyiwa Hawa Ndugu zetu.
Serikali ya Rais Samia, inawafanyisha Kazi Bibi na babu walochoka kabisaz Shughuli za kuchongaabarabara, Njia ,Mitaro na kusafisha vichochoro Kwa Malipo ya Fedha za TASAF.
Imeniuma sana sana sana, Hata MAGUFULI hakufanya hivi!!.
Yaan Fukara wa Tanganyika anafanyishwa Utumwa Ndani ya Nchi yake chini ya Rais Mzanzibar??.
Bibi Masikini, mjane ,wa miaka 70 ???
Hii ni ajabu