j wa nmb
Senior Member
- Jul 28, 2020
- 174
- 419
- Thread starter
- #21
Nyie mmeumbwa kwa ajili yetu,Nyie ni maua mnafaa mnukie uzuri...ili mtupendezesheWanawake hatuwezi kubadilika kisa nyie hamtaki Jambo flani, ndio maana tukawa wanawake, by the way wanaume wanaoumizwa na Mambo ya wanawake kinachowasumbua ni kukosa hela tu