Duh! Kuna wanawake mnatia aibu jamani

Duh! Kuna wanawake mnatia aibu jamani

Kwa hiyo watu wa kwenye daladala wana haki ya kunuka?

Mada ipo kwa lengo la kuelimisha,haijalishi mazingira
Mada imekaa kihisia zaid na kimajivuno (haijabalance kwaajili yakuelimisha)
 
Kipindi n

Huo sio ugonjwa ni uzembe brother wacha wajirekebishe
Bro najua umekereka,ila jitahid kumstili binadamu mwenzio, afu km kunamchafu na msafi pia yupo...Chukua unachokiweza nasio kuwasema watu ktk miangaiko yao
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ubora gani Tena?
Ligi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Nakuaminia sana Cariha. Mpaka siku moja nikataka kuzama PM ili kutesti zali ila nikaogopa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha Sana usiku huu kwa kweli, uliogopa Nini Mimi Niko cool sana
 
Baadhi ya wanawake/kinadada ni janga
Unakutana na mwanamke kwenye daladala sjui ni wigi linatoa uvundo ama ni yeye mwenyewe basi ni karaha tupu.

Ukimuangalia usoni make up ya maana!! Mkononi bonge la msimu....hayo marashi ya kienyeji harufu yake inavyotoka hapo sasa.
Jamani hayo mawigi kama yanafulika yafueni basi kama kubadilisha imekuwa ngumu,leo almanusra nitapike kwenye daladala.

Wapo watakao sema ninunue Gari langu,hayo ni majaliwa,ila ukweli lazma usemwe, kinadada Usafi unawashinda aisee.
Dawa ya hao wanuka uvundo mawigi ni kuwatapikia (ile ya kurusha matapishi mithili ya mgonjwa wa malaria) kama mmekaa karibu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha Sana usiku huu kwa kweli, uliogopa Nini Mimi Niko cool sana
Ndiyo lilikuwa lengo la comment yangu aisee. Subiri kuna siku nitajichanganya tu vu bin vu utaniona PM. Hiyo siku dah! Labda itabidi kujipigilia K - Vant kwanza ili hata kikinuka mtu unakuwa na kisingizio...

Lala salama aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hamna Cha kupiga k vant hapo
 
Kwakweli sijawahi kusikia nisiwe mnafiki.

Unakuta mwanume anakwambia demu fulani ananuka chupi,unaanza kuwaza huyu jamaa pua yake ikoje,mbona mimi naskia kawaida tu,either harufu ya jasho ama perfume mbaya.

Mkuu utueleze pua zako zinafuata nini kwenye vichwa wa watu[emoji1][emoji1]
Wanakuwaga na matatizo sana hawa jamaa, itakuwa wanapua zao binafsi.
 
Back
Top Bottom