sivahdi
Senior Member
- Oct 20, 2019
- 134
- 180
Mada imekaa kihisia zaid na kimajivuno (haijabalance kwaajili yakuelimisha)Kwa hiyo watu wa kwenye daladala wana haki ya kunuka?
Mada ipo kwa lengo la kuelimisha,haijalishi mazingira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mada imekaa kihisia zaid na kimajivuno (haijabalance kwaajili yakuelimisha)Kwa hiyo watu wa kwenye daladala wana haki ya kunuka?
Mada ipo kwa lengo la kuelimisha,haijalishi mazingira
Bro najua umekereka,ila jitahid kumstili binadamu mwenzio, afu km kunamchafu na msafi pia yupo...Chukua unachokiweza nasio kuwasema watu ktk miangaiko yaoKipindi n
Huo sio ugonjwa ni uzembe brother wacha wajirekebishe
Ligi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji23][emoji23][emoji23] ubora gani Tena?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha Sana usiku huu kwa kweli, uliogopa Nini Mimi Niko cool sanaLigi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nakuaminia sana Cariha. Mpaka siku moja nikataka kuzama PM ili kutesti zali ila nikaogopa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
[emoji2]Kuna siku nimekaa sehemu ina AC akaja dada kukaa pia pembeni..ebhana eee,wigi limechacha kuchacha..Ukikaa sehemu yenye AC harufu mbaya kutoka kwa mtu inasambaa kirahisi
Kina dada zingatieni hayo mawigi
Dawa ya hao wanuka uvundo mawigi ni kuwatapikia (ile ya kurusha matapishi mithili ya mgonjwa wa malaria) kama mmekaa karibu.Baadhi ya wanawake/kinadada ni janga
Unakutana na mwanamke kwenye daladala sjui ni wigi linatoa uvundo ama ni yeye mwenyewe basi ni karaha tupu.
Ukimuangalia usoni make up ya maana!! Mkononi bonge la msimu....hayo marashi ya kienyeji harufu yake inavyotoka hapo sasa.
Jamani hayo mawigi kama yanafulika yafueni basi kama kubadilisha imekuwa ngumu,leo almanusra nitapike kwenye daladala.
Wapo watakao sema ninunue Gari langu,hayo ni majaliwa,ila ukweli lazma usemwe, kinadada Usafi unawashinda aisee.
Ndiyo lilikuwa lengo la comment yangu aisee. Subiri kuna siku nitajichanganya tu vu bin vu utaniona PM. Hiyo siku dah! Labda itabidi kujipigilia K - Vant kwanza ili hata kikinuka mtu unakuwa na kisingizio...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha Sana usiku huu kwa kweli, uliogopa Nini Mimi Niko cool sana
Mkuu huoni kama na wewe utakuwa mjinga?Dawa ya hao wanuka uvundo mawigi ni kuwatapikia (ile ya kurusha matapishi mithili ya mgonjwa wa malaria) kama mmekaa karibu.
Hilo atajaza mwenyewe yule aliyenisababisha nitapike...na atapata somo kwa vitendo.
Atajaza yeye na watu wote waliomo kwenye daladala kuwa wewe nawe ni kichaaHilo atajaza mwenyewe yule aliyenisababisha nitapike...na atapata somo kwa vitendo.
[emoji23][emoji23][emoji23]hamna Cha kupiga k vant hapoNdiyo lilikuwa lengo la comment yangu aisee. Subiri kuna siku nitajichanganya tu vu bin vu utaniona PM. Hiyo siku dah! Labda itabidi kujipigilia K - Vant kwanza ili hata kikinuka mtu unakuwa na kisingizio...
Lala salama aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanakuwaga na matatizo sana hawa jamaa, itakuwa wanapua zao binafsi.Kwakweli sijawahi kusikia nisiwe mnafiki.
Unakuta mwanume anakwambia demu fulani ananuka chupi,unaanza kuwaza huyu jamaa pua yake ikoje,mbona mimi naskia kawaida tu,either harufu ya jasho ama perfume mbaya.
Mkuu utueleze pua zako zinafuata nini kwenye vichwa wa watu[emoji1][emoji1]
[emoji16][emoji16][emoji16]Kwahiyo J wa nmb umejiunga Leo ID mpya satano unusu asubuhi ili tu uje kumsimanga dada wa watu mwenye wigi like seriously.??
Enwei, hii haituhusu sisi tunaokutana saloon za kiume kunyoa, kuweka rough ama wave.!