Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
OkYapo Mazao ya muda mfupi Mkuu
Ngoja waje Maafisa Ugani watusaidie kuyaorodhesha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkYapo Mazao ya muda mfupi Mkuu
Ngoja waje Maafisa Ugani watusaidie kuyaorodhesha
Hii ni mafinga mkuuDuh hadi napatamani
Hapa ni. Wapi mkuu
Mazao ya Muda mfupi wa kati ya wiki 3 hadi miezi 6
Pole mkuu.Sisi wakulima wa mpunga mpaka sahv hatuelewi inakuwaje hii,tumesitisha hata kupanda
OkMazao ya Muda mfupi wa kati ya wiki 3 hadi miezi 6
1. Mazao ya Chakula
Mahindi ya muda mfupi – Hukomaa ndani ya miezi 3-4. Aina kama SC 627 na SC 403 ni maarufu.
Mihogo (aina ya muda mfupi) – Aina kama Kiroba hukomaa kati ya miezi 4-6.
Mtama – Hukomaa kati ya miezi 3-4 na hustahimili ukame.
Viazi vitamu – Hukomaa ndani ya miezi 3-4.
2. Mboga za Majani
Mchicha – Hukomaa ndani ya wiki 3-4.
Kale (sukuma wiki) – Hukomaa ndani ya wiki 4-6.
Spinachi – Inavunwa baada ya wiki 4-6.
Nyanya chungu – Hukomaa baada ya miezi 2-3.
3. Mazao ya Matunda
Tikiti maji – Hukomaa ndani ya miezi 2-3.
Matango – Hukomaa ndani ya miezi 2-3.
Papai (aina za muda mfupi) – Aina kama Red Lady huanza kuzaa ndani ya miezi 6.
4. Mazao ya Biashara
Alizeti – Hukomaa kati ya miezi 3-4.
Karanga – Hukomaa ndani ya miezi 3-4.
Ufuta – Hukomaa ndani ya miezi 3-4.
Kama Hangaya tuIla Zakayo amefanya maisha ya wakenya yawe magumu sana
😂😂😂Na hiyo LBL iliyonitapeli, mpaka meno yanatoa jasho. Au ndio jua limeshuka kwa cm kadhaa?