Duh mbona jua kali hivi halafu pakavu sana sio kawaida na majira ya miezi hii

Duh mbona jua kali hivi halafu pakavu sana sio kawaida na majira ya miezi hii

Mazao mengi yanayostawi Kwa hili jua ni Alizeti na Ufuta.

Kuna maeneo nimepita hata Mahindi yamestawi

Japo upungufu wa Chakula utakwepo, maana sio wote waliwahi zile mvua za mwanzoni
Halafu mvua zinatarajiwa kuanza katikati mwa mwezi ujao
 
Hii ni dalili kuwa:-
1) Maovu yamezidi, tunamuasi Mungu zaidi kuliko mema, sasa tutaqdhibiwa kwa jua kali na njaa inafuata na hatimaye vifo.
Nawaomba ndugu zangu kila mmoja akemee maovu kwenye eneo lake huenda tukapata huruma ya mungu.
 
Hali ya hewa ni hatari mnooo mvua mvuaaa
 

Attachments

  • IMG_20250228_145306_150.jpg
    IMG_20250228_145306_150.jpg
    121.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom