Duh mbona jua kali hivi halafu pakavu sana sio kawaida na majira ya miezi hii

Duh mbona jua kali hivi halafu pakavu sana sio kawaida na majira ya miezi hii

Kuna mgeni wangu jana katoka songea kasema hali ni tete ya mazao. Kuna haja ya kuhifadhi nafaka.
Hakika Mkuu, vyema kuhifadhi chakula kama Kuna nafasi ya kufanya hivyo

Wale ambao walifanikiwa kununua mazao mengi ya chakula na kuyahifadhi Mwaka Jana, basi Mwaka huu watakuwa na fursa ya kuyauza Kwa gharama nzuri na kutengeneza Faida


#Dunia ya Kibepari
 
Back
Top Bottom