Duh mbona jua kali hivi halafu pakavu sana sio kawaida na majira ya miezi hii

Duh mbona jua kali hivi halafu pakavu sana sio kawaida na majira ya miezi hii

Upungufu wa chakula na wakati kuna mazao yanastawi sana kwa jua kali
Mazao mengi yanayostawi Kwa hili jua ni Alizeti na Ufuta.

Kuna maeneo nimepita hata Mahindi yamestawi

Japo upungufu wa Chakula utakwepo, maana sio wote waliwahi zile mvua za mwanzoni
 
Kaka now nakuunga mkono kupinga ulevi wa kipumbavu , wanatuaibisha sana sisi walevi wengine ๐Ÿคฃ
sasa fikiria mtu hata kuosha mguu wake unaompeleka bar anasahau kunawa mtu atacha kuwazarau walevi kwa mtaji huo
 
Back
Top Bottom