Duh mbona jua kali hivi halafu pakavu sana sio kawaida na majira ya miezi hii

Maovu yamezidi halafu viongozi wa dini na manabii wamekuwa machawa. Hakuna wa kumsaidia mwenzake.

Mimi asili yangu ni moto naona sawa tu joto kuongezeka. Hofu yangu ni kwamba ukame unaweza sababisha upungufu wa vyakula.
 
Hakika mkuu

Mfano napoish wiki 2 hakuna maji
 
juma lililopita nilikua moshi uko walevi wanapigwa kelebu na waudumu eti wakalale izi walevi bana
Dah ila ila moshi ni kwetu ila kuna vijana wanatakiwa watembezewe bakora , miaka ya 80 hakukua na wapumbavu wa pombe kiasi kile🤔
 
Maovu yamezidi halafu viongozi wa dini na manabii wamekuwa machawa. Hakuna wa kumsaidia mwenzake.

Pamoja na kwamba jua limeongeza joto ,lakini jua lenyewe ndio huwa linafanya process ya kutengeneza mvua. Mwaka huu ni kama limegoma kutengeneza mvua.

Mimi asili yangu ni moto naona sawa tu joto kuongezeka. Hofu yangu ni kwamba ukame unaweza sababisha upungufu wa vyakula.
 
Dah ila ila moshi ni kwetu ila kuna vijana wanatakiwa watembezewe bakora , miaka ya 80 hakukua na wapumbavu wa pombe kiasi kile🤔
Hakika

Niliiikuwepo moshi wakati wa banana ilivyoanza kunyweka , aisee watu hadi walikuwa wanajinyea
 
Back
Top Bottom