Nimetembelea sana Uganda, kwa kweli mahali pale sio safe, jamaa angeomba asylum nje ya nchi aiseeKosa lake alikimbilia uganda, uganda ni rwanda tu bora hata angekimbilia Tanzania akakae hata singida huko, mpaka wauaji wake wafike singida watakuwa wamedakwa njiani na hawatoki kurudi kwao rwanda
Sawa, nasubiri kufaKwa bahati mbaya you will be killed for both!
Paul Kagame mwanaume huwezi kumchezea. Tanzania tunahitaji Rais km bw. PKMnamo Novemba 2020, Robert Kabera alikimbilia Uganda. Mamlaka ya kijeshi ya Rwanda ilitangaza uchunguzi kuhusu madai kwamba alimnyanyasa kingono mwanafamilia wa miaka 15.
Kabera alikana mashtaka hayo, akayaita ya uwongo na ya kisiasa. Aliomba hifadhi, akitoa mfano wa mateso ya kisiasa na vitisho, na wakati mwingine alipewa hadhi ya ukimbizi akiwa na ulinzi wa polisi.
Akiwa uhamishoni, akawa mkosoaji wa serikali ya Kagame kupitia muziki na hasa chaneli yake ya YouTube.
Mnamo au karibu na Oktoba 16-17, 2026, alipokuwa katika eneo la Luwala la Wilaya ya Mpigi (karibu na Kampala), ambapo alikuwa akisimamia ujenzi wa nyumba, aliuawa na kukatwa kichwa.
Wakazi wa eneo hilo waligundua mwili wake; kichwa chake hakikupatikana. Polisi wa Uganda walithibitisha mauaji hayo na kufungua uchunguzi; jamaa (pamoja na kaka yake) walimtambua.
Mjane wake, Jeanne d'Arc Rwigema Uwizeye, alionyesha hofu kwa usalama wa familia hiyo. Serikali ya Rwanda haikuwa imetoa maoni hadharani kuhusu ripoti za awali.
Makundi ya upinzani ya uhamishoni yalitaka uchunguzi kamili, yakibainisha mtindo wa vurugu dhidi ya wakosoaji wa Rwanda walioko nje ya nchi. Hakuna nia rasmi au wahusika waliothibitishwa hadharani.
Kagame hana mchezo. Po pote pale duniani anakudabua. Afrika Kusini huko huwa anawadabua tu eti wengine wanajirusha kutoka ghorofa ya nane. Modus Operandi (MO) kama ya Putin. Oligarchs wengi sana wameshajirusha kutoka maghorofani.Kosa lake alikimbilia uganda, uganda ni rwanda tu bora hata angekimbilia Tanzania akakae hata singida huko, mpaka wauaji wake wafike singida watakuwa wamedakwa njiani na hawatoki kurudi kwao rwanda
Mbona kama unasifia uharamia huu??Kagame hana mchezo. Po pote pale duniani anakudabua. Afrika Kusini huko huwa anawadabua tu eti wengine wanajirusha kutoka ghorofa ya nane. Modus Operandi (MO) kama ya Putin . US huko alikuwepo jamaa mtata sana anaitwa Prof. Andre Kimenyi. Naye alipita naye kimya kimya. Hata Mchungaji Mtikila huyu wa kwetu naye alipitiwa na MOSSAD ya Rwanda. PK akikutaka huna pa kukimbilia. Akina Mange, Hilda Newton na Sarungi hawa ingekuwa PK aaaah zamaniiii angekuwa keshamalizana nao! Super dangerous!
Na wewe sifia. Kuna mtu amekukataza? Mimi nikisifia au nisiposifia inabadilisha nini? Kama nimesifia, kuna sheria nimevunja? 😡😡😡😡Mbona kama unasifia uharamia huu??
Mtikila alikuwa na issue gani na Rwanda mkuu?Kagame hana mchezo. Po pote pale duniani anakudabua. Afrika Kusini huko huwa anawadabua tu eti wengine wanajirusha kutoka ghorofa ya nane. Modus Operandi (MO) kama ya Putin. Oligarchs wengi sana wameshajirusha kutoka maghorofani.
US huko alikuwepo jamaa mtata sana anaitwa Prof. Andre Kimenyi. PK alipita naye naye kimya kimya. Hata Mchungaji Mtikila huyu wa kwetu naye alipitiwa na MOSSAD ya Rwanda. PK akikutaka huna pa kukimbilia. Akina Mange, Hilda Newton na Sarungi hawa ingekuwa PK aaaah zamaniiii angekuwa keshamalizana nao! Super dangerous!
Google Mtikila vs Kagame au Mtikila vs. Rwanda....Mtikila alikuwa na issue gani na Rwanda mkuu?
EXCLUSIVE: Tanzania Hosts More Meetings For FDLR With ICTR...