Duh mwamba kakutwa kiwili wili tu, kichwa hakipo!

Duh mwamba kakutwa kiwili wili tu, kichwa hakipo!

Kagame hana mchezo. Po pote pale duniani anakudabua. Afrika Kusini huko huwa anawadabua tu eti wengine wanajirusha kutoka ghorofa ya nane. Modus Operandi (MO) kama ya Putin. Oligarchs wengi sana wameshajirusha kutoka maghorofani.

US huko alikuwepo jamaa mtata sana anaitwa Prof. Andre Kimenyi. PK alipita naye naye kimya kimya. Hata Mchungaji Mtikila huyu wa kwetu naye alipitiwa na MOSSAD ya Rwanda. PK akikutaka huna pa kukimbilia. Akina Mange, Hilda Newton na Sarungi hawa ingekuwa PK aaaah zamaniiii angekuwa keshamalizana nao! Super dangerous!
Mtikila alimkosea nini PK
 
Wakosoaji wa serikali ya Rwanda kila wanapokimbilia hawapo salama, huwindwa na kumalizwa.

Kote walipokimbilia kama S.A jamaa wanawamalizia hotelini.

Yupo aliyewahi kuwa mwanajeshi wa RPF aliyekimbilia S.A alikiepuka kifo kama bahati tu, jamaa walipojua hoteli aliyokuwa akiishi wakapanga kummalizia chumbani anapolala.

Bahati yake siku ya tukio, kilichomuokoa ni kutoka kwake chumbani mapema kwenda chini akanywe chai, wakati huo ndio jamaa wa Rwanda wakazama chumbani kwake na kumkosa, wakapekua kote hawakumpata.

Na wakishazama ndani wakamkuta mbaya wao hawachukui chochote toka kwake zaidi ya roho yake, ni risasi moja tu ya kichwa, au kifua, kisha wanaondoka zao.

Naamini ni baadhi ya nchi za ulaya magharibi na USA pekee ndio zenye uwezo mzuri kuwalinda hao jamaa, lakini nje ya hapo hawako salama.

Hata hapa kwetu, wote waliojaribu kuonekana tishio kwa serikali ya Rwanda hawakuachwa salama,kuanzia marehemu Mvungi, Mtikila, na baadhi ya wanajeshi waliokuwa jeshi la RPF, wote walimalizwa.
Naomba nijue kuhusu mvungi
 
Mtikila alimkosea nini PK
Mtikila alikuwa anaiamsha serikali ya Tz kuiambia Kagame amepenyeza watu wake kwenye idara zetu na taasisi za serikali mpaka kwenye majeshi yetu.

Siku ilipofika akatengenezewa ajali ya gari dereva akaibamiza upande wa Mtikila yeye akatoka salama akaenda zake, hata hajulikani dereva alipotelea wapi.
 
Kosa lake alikimbilia uganda, uganda ni rwanda tu bora hata angekimbilia Tanzania akakae hata singida huko, mpaka wauaji wake wafike singida watakuwa wamedakwa njiani na hawatoki kurudi kwao rwanda
Umesahau ni juzi juzi tu Tanzania ilimkamata yule mkosoaji wa serikali ya Congo Mwanadada Denise Mukendi Dusauchoy
 
Kosa lake alikimbilia uganda, uganda ni rwanda tu bora hata angekimbilia Tanzania akakae hata singida huko, mpaka wauaji wake wafike singida watakuwa wamedakwa njiani na hawatoki kurudi kwao rwanda
Waliokuwa waasi wa RPF wengi wao waliishi na kukulia Uganda na Tanzania. Hao ndiyo waliunda jeshi na vyombo vya ulinzi na usalama vya Rwanda ya sasa.
Kukimbilia Afrika Mashariki, Kati na Kusini hayo maeneo yao wanayo yatambua vizuri na wanafanya mambo yao bila usumbufu.
Ukitaka kuwa salama angalau kimbilia Ulaya na Amerika Kaskazini (USA na Canada).
 
Kosa lake alikimbilia uganda, uganda ni rwanda tu bora hata angekimbilia Tanzania akakae hata singida huko, mpaka wauaji wake wafike singida watakuwa wamedakwa njiani na hawatoki kurudi kwao rwanda
Mmmmm singida njiani hapo rwandese wanapita hapo kila siku.....kuna siku askari wa check point walikamata gari ikiwa mtu ametekwa na askari kamzu wa kagame......anarudishwa kigali bahati aligonga gonga buti askari wakasikia.....kwa hiyo kagame anatuma watu kuua wapinzani wake popote pale duniani wakipata nafasi......
 
Mnamo Novemba 2020, Robert Kabera alikimbilia Uganda. Mamlaka ya kijeshi ya Rwanda ilitangaza uchunguzi kuhusu madai kwamba alimnyanyasa kingono mwanafamilia wa miaka 15.

Kabera alikana mashtaka hayo, akayaita ya uwongo na ya kisiasa. Aliomba hifadhi, akitoa mfano wa mateso ya kisiasa na vitisho, na wakati mwingine alipewa hadhi ya ukimbizi akiwa na ulinzi wa polisi.

Akiwa uhamishoni, akawa mkosoaji wa serikali ya Kagame kupitia muziki na hasa chaneli yake ya YouTube.

Mnamo au karibu na Oktoba 16-17, 2026, alipokuwa katika eneo la Luwala la Wilaya ya Mpigi (karibu na Kampala), ambapo alikuwa akisimamia ujenzi wa nyumba, aliuawa na kukatwa kichwa.

Wakazi wa eneo hilo waligundua mwili wake; kichwa chake hakikupatikana. Polisi wa Uganda walithibitisha mauaji hayo na kufungua uchunguzi; jamaa (pamoja na kaka yake) walimtambua.

Mjane wake, Jeanne d'Arc Rwigema Uwizeye, alionyesha hofu kwa usalama wa familia hiyo. Serikali ya Rwanda haikuwa imetoa maoni hadharani kuhusu ripoti za awali.

Makundi ya upinzani ya uhamishoni yalitaka uchunguzi kamili, yakibainisha mtindo wa vurugu dhidi ya wakosoaji wa Rwanda walioko nje ya nchi. Hakuna nia rasmi au wahusika waliothibitishwa hadharani.
Kagame alikitaka hicho kichwa ili atengeneze supu
 
Napitatu
 
Hata hapa kwetu, wote waliojaribu kuonekana tishio kwa serikali ya Rwanda hawakuachwa salama,kuanzia marehemu Mvungi, Mtikila, na baadhi ya wanajeshi waliokuwa jeshi la RPF, wote walimalizwa
Mvungi huyu Seng'ondo Mwandishi wa Rasimu ya katiba ya J Warioba?
Kagame akaona huyu anataka kuniharibia mambo, wakammaliza kwa sumu akafia SA akiwa anatibiwa, alikuwa akiishi Salsala, Dsm.
Kwamba sio issue za msasa wa Rasimu ya katiba? Ukisema wakammaliza kwa sumu Ile kutekwa na kushambuliwa ilikua ni fabricated/Execution au Coup de grace?? Curiosity
 
Mvungi huyu Seng'ondo Mwandishi wa Rasimu ya katiba ya J Warioba?

Kwamba sio issue za msasa wa Rasimu ya katiba? Ukisema wakammaliza kwa sumu Ile kutekwa na kushambuliwa ilikua ni fabricated/Execution au Coup de grace?? Curiosity
Rasimu ya Katiba isingeweza kuondoka na roho ya mtu ikiwa CCM walijua watachakachua kwenye bunge la Katiba kwa kuileta ile Katiba yao pendekezwa.

PK alifanya kazi yake.

Hayo mauaji ni baadhi ya mambo yaliyofanya JK asipatane kabisa na PK, mpaka kufikia stage JK anatuma JWTZ kwenda Congo kuwafukuza M23, ile yote ilikuwa ni kulipa kisasi kwa mambo PK aliyofanya ndani ya ardhi yetu.
 
Back
Top Bottom