Royal Son
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 1,677
- 3,174
Kagame hana mchezo. Po pote pale duniani anakudabua. Afrika Kusini huko huwa anawadabua tu eti wengine wanajirusha kutoka ghorofa ya nane. Modus Operandi (MO) kama ya Putin. Oligarchs wengi sana wameshajirusha kutoka maghorofani.
US huko alikuwepo jamaa mtata sana anaitwa Prof. Andre Kimenyi. PK alipita naye naye kimya kimya. Hata Mchungaji Mtikila huyu wa kwetu naye alipitiwa na MOSSAD ya Rwanda. PK akikutaka huna pa kukimbilia. Akina Mange, Hilda Newton na Sarungi hawa ingekuwa PK aaaah zamaniiii angekuwa keshamalizana nao! Super dangerous!
Wewe unaongea tuu US sio SA kwamba atafuata walifanya tuu Makosa mbona wapo wengi tuu Nyamwisa mbona yupo na Anadunda wapo wengi tuu wewe unadhani kumua Mkimbizi au raia tena ndani ya nchi nyingin ni mzozo wa kidiplomasia sema Rwanda na Uganda ni nchi moja