Mtikila alimkosea nini PKKagame hana mchezo. Po pote pale duniani anakudabua. Afrika Kusini huko huwa anawadabua tu eti wengine wanajirusha kutoka ghorofa ya nane. Modus Operandi (MO) kama ya Putin. Oligarchs wengi sana wameshajirusha kutoka maghorofani.
US huko alikuwepo jamaa mtata sana anaitwa Prof. Andre Kimenyi. PK alipita naye naye kimya kimya. Hata Mchungaji Mtikila huyu wa kwetu naye alipitiwa na MOSSAD ya Rwanda. PK akikutaka huna pa kukimbilia. Akina Mange, Hilda Newton na Sarungi hawa ingekuwa PK aaaah zamaniiii angekuwa keshamalizana nao! Super dangerous!
Angalia comments # 19 na 20Mtikila alimkosea nini PK
Naomba nijue kuhusu mvungiWakosoaji wa serikali ya Rwanda kila wanapokimbilia hawapo salama, huwindwa na kumalizwa.
Kote walipokimbilia kama S.A jamaa wanawamalizia hotelini.
Yupo aliyewahi kuwa mwanajeshi wa RPF aliyekimbilia S.A alikiepuka kifo kama bahati tu, jamaa walipojua hoteli aliyokuwa akiishi wakapanga kummalizia chumbani anapolala.
Bahati yake siku ya tukio, kilichomuokoa ni kutoka kwake chumbani mapema kwenda chini akanywe chai, wakati huo ndio jamaa wa Rwanda wakazama chumbani kwake na kumkosa, wakapekua kote hawakumpata.
Na wakishazama ndani wakamkuta mbaya wao hawachukui chochote toka kwake zaidi ya roho yake, ni risasi moja tu ya kichwa, au kifua, kisha wanaondoka zao.
Naamini ni baadhi ya nchi za ulaya magharibi na USA pekee ndio zenye uwezo mzuri kuwalinda hao jamaa, lakini nje ya hapo hawako salama.
Hata hapa kwetu, wote waliojaribu kuonekana tishio kwa serikali ya Rwanda hawakuachwa salama,kuanzia marehemu Mvungi, Mtikila, na baadhi ya wanajeshi waliokuwa jeshi la RPF, wote walimalizwa.
Mtikila alikuwa anaiamsha serikali ya Tz kuiambia Kagame amepenyeza watu wake kwenye idara zetu na taasisi za serikali mpaka kwenye majeshi yetu.Mtikila alimkosea nini PK
Umesahau ni juzi juzi tu Tanzania ilimkamata yule mkosoaji wa serikali ya Congo Mwanadada Denise Mukendi DusauchoyKosa lake alikimbilia uganda, uganda ni rwanda tu bora hata angekimbilia Tanzania akakae hata singida huko, mpaka wauaji wake wafike singida watakuwa wamedakwa njiani na hawatoki kurudi kwao rwanda
Mvungi alikuwa anasimamia kesi ya mmojawapo wa mauaji ya Kimbari kule Rwanda ya 1994.Naomba nijue kuhusu mvungi
Alikua na story ya Bhahima(Watusi) agenda na malengo yao ya mda mrefu...nafikiri aliandika na kitabuMtikila alikuwa na issue gani na Rwanda mkuu?
Waliokuwa waasi wa RPF wengi wao waliishi na kukulia Uganda na Tanzania. Hao ndiyo waliunda jeshi na vyombo vya ulinzi na usalama vya Rwanda ya sasa.Kosa lake alikimbilia uganda, uganda ni rwanda tu bora hata angekimbilia Tanzania akakae hata singida huko, mpaka wauaji wake wafike singida watakuwa wamedakwa njiani na hawatoki kurudi kwao rwanda
Ndio kuna sheria umevunja. Nayachukia sana hayo Mitusi.Na wewe sifia. Kuna mtu amekukataza? Mimi nikisifia au nisiposifia inabadilisha nini? Kama nimesifia, kuna sheria nimevunja? 😡😡😡😡
Mvungi mbona wanadai ni mkwere kwasababu ya katiba mpya. Ila yule mwanasheria aliyeuwawa salasala nimesahau jina lake wanadai PAKA alihusika.Naomba nijue kuhusu mvungi
Mmmmm singida njiani hapo rwandese wanapita hapo kila siku.....kuna siku askari wa check point walikamata gari ikiwa mtu ametekwa na askari kamzu wa kagame......anarudishwa kigali bahati aligonga gonga buti askari wakasikia.....kwa hiyo kagame anatuma watu kuua wapinzani wake popote pale duniani wakipata nafasi......Kosa lake alikimbilia uganda, uganda ni rwanda tu bora hata angekimbilia Tanzania akakae hata singida huko, mpaka wauaji wake wafike singida watakuwa wamedakwa njiani na hawatoki kurudi kwao rwanda
Kagame alikitaka hicho kichwa ili atengeneze supuMnamo Novemba 2020, Robert Kabera alikimbilia Uganda. Mamlaka ya kijeshi ya Rwanda ilitangaza uchunguzi kuhusu madai kwamba alimnyanyasa kingono mwanafamilia wa miaka 15.
Kabera alikana mashtaka hayo, akayaita ya uwongo na ya kisiasa. Aliomba hifadhi, akitoa mfano wa mateso ya kisiasa na vitisho, na wakati mwingine alipewa hadhi ya ukimbizi akiwa na ulinzi wa polisi.
Akiwa uhamishoni, akawa mkosoaji wa serikali ya Kagame kupitia muziki na hasa chaneli yake ya YouTube.
Mnamo au karibu na Oktoba 16-17, 2026, alipokuwa katika eneo la Luwala la Wilaya ya Mpigi (karibu na Kampala), ambapo alikuwa akisimamia ujenzi wa nyumba, aliuawa na kukatwa kichwa.
Wakazi wa eneo hilo waligundua mwili wake; kichwa chake hakikupatikana. Polisi wa Uganda walithibitisha mauaji hayo na kufungua uchunguzi; jamaa (pamoja na kaka yake) walimtambua.
Mjane wake, Jeanne d'Arc Rwigema Uwizeye, alionyesha hofu kwa usalama wa familia hiyo. Serikali ya Rwanda haikuwa imetoa maoni hadharani kuhusu ripoti za awali.
Makundi ya upinzani ya uhamishoni yalitaka uchunguzi kamili, yakibainisha mtindo wa vurugu dhidi ya wakosoaji wa Rwanda walioko nje ya nchi. Hakuna nia rasmi au wahusika waliothibitishwa hadharani.
NapitatuMnamo Novemba 2020, Robert Kabera alikimbilia Uganda. Mamlaka ya kijeshi ya Rwanda ilitangaza uchunguzi kuhusu madai kwamba alimnyanyasa kingono mwanafamilia wa miaka 15.
Kabera alikana mashtaka hayo, akayaita ya uwongo na ya kisiasa. Aliomba hifadhi, akitoa mfano wa mateso ya kisiasa na vitisho, na wakati mwingine alipewa hadhi ya ukimbizi akiwa na ulinzi wa polisi.
Akiwa uhamishoni, akawa mkosoaji wa serikali ya Kagame kupitia muziki na hasa chaneli yake ya YouTube.
Mnamo au karibu na Oktoba 16-17, 2026, alipokuwa katika eneo la Luwala la Wilaya ya Mpigi (karibu na Kampala), ambapo alikuwa akisimamia ujenzi wa nyumba, aliuawa na kukatwa kichwa.
Wakazi wa eneo hilo waligundua mwili wake; kichwa chake hakikupatikana. Polisi wa Uganda walithibitisha mauaji hayo na kufungua uchunguzi; jamaa (pamoja na kaka yake) walimtambua.
Mjane wake, Jeanne d'Arc Rwigema Uwizeye, alionyesha hofu kwa usalama wa familia hiyo. Serikali ya Rwanda haikuwa imetoa maoni hadharani kuhusu ripoti za awali.
Makundi ya upinzani ya uhamishoni yalitaka uchunguzi kamili, yakibainisha mtindo wa vurugu dhidi ya wakosoaji wa Rwanda walioko nje ya nchi. Hakuna nia rasmi au wahusika waliothibitishwa hadharani.
Mvungi huyu Seng'ondo Mwandishi wa Rasimu ya katiba ya J Warioba?Hata hapa kwetu, wote waliojaribu kuonekana tishio kwa serikali ya Rwanda hawakuachwa salama,kuanzia marehemu Mvungi, Mtikila, na baadhi ya wanajeshi waliokuwa jeshi la RPF, wote walimalizwa
Kwamba sio issue za msasa wa Rasimu ya katiba? Ukisema wakammaliza kwa sumu Ile kutekwa na kushambuliwa ilikua ni fabricated/Execution au Coup de grace?? CuriosityKagame akaona huyu anataka kuniharibia mambo, wakammaliza kwa sumu akafia SA akiwa anatibiwa, alikuwa akiishi Salsala, Dsm.
Rasimu ya Katiba isingeweza kuondoka na roho ya mtu ikiwa CCM walijua watachakachua kwenye bunge la Katiba kwa kuileta ile Katiba yao pendekezwa.Mvungi huyu Seng'ondo Mwandishi wa Rasimu ya katiba ya J Warioba?
Kwamba sio issue za msasa wa Rasimu ya katiba? Ukisema wakammaliza kwa sumu Ile kutekwa na kushambuliwa ilikua ni fabricated/Execution au Coup de grace?? Curiosity
OK asante kwa kunifungua akiliMvungi mbona wanadai ni mkwere kwasababu ya katiba mpya. Ila yule mwanasheria aliyeuwawa salasala nimesahau jina lake wanadai PAKA alihusika.
Aiseee!!!Mvungi alikuwa anasimamia kesi ya mmojawapo wa mauaji ya Kimbari kule Rwanda ya 1994.
Kagame akaona huyu anataka kuniharibia mambo, wakammaliza kwa sumu akafia SA akiwa anatibiwa, alikuwa akiishi Salsala, Dsm.