Duh mwamba kakutwa kiwili wili tu, kichwa hakipo!


Wewe unaongea tuu US sio SA kwamba atafuata walifanya tuu Makosa mbona wapo wengi tuu Nyamwisa mbona yupo na Anadunda wapo wengi tuu wewe unadhani kumua Mkimbizi au raia tena ndani ya nchi nyingin ni mzozo wa kidiplomasia sema Rwanda na Uganda ni nchi moja
 
Wabongo walovyo wanafiki watashangaa ya Robert Kabera kukatwa kichwa na watasahau kiwiliwili cha James Temba kiliokotwa kikiwa hakina kichwa / alikatwa kichwa.
 
Kwa uelewa wako, uko sahihi kabisa! πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Huyo Nyamwisa si ndio alikoswakoswa kuuwawa hotelini alipokuwa anaishi. Sasa haishi tena South wanadai yupo Australia. Halafu siyo kweli anadunda he always walk looking over his shoulders.

Jestkilla zitto junior
 
ajabu Kagame hatokuja kumsahau JK? Haamini mpaka leo. JK mwamba sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…